Inakuwaje mwanaume unakuwa tajiri, halafu kupata mwanamke inakuwa shida?

Mo money mo problem
 
Hilo jambo naona ni kweli kabisa. Maana hata mimi kuna watu nawajua wana pesa nzuri ila hata demu wa kusingizia hawana.


Nahisi Mungu ameweka nyota ya mafanikio kwa Madomo Zege.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wanawaza hela, wewe unawaza kugusanisha vikojoleo
 
Wakati mwingine sio kwamba kukosa ujanja kwenye tasnia bali ku-save time ya kumfualia mtu unakuwa kama unamuimbia wimbo wa kuch kuch wakati huna future nae hivyo mtu anakata fuba tu kikubwa budget yake haiharibiki
 
Pesa kitu gani? Pesa bila upendo wa dhati haina maana, wengi wenye pesa hujidaia pesa kana kwama ndiyo fimbo ya kumtongozea mwanamke, mwanamke anayetaka kuwa wife material umletee mazonge zonge lazima wakupunyue na kukimbia, ndiyo wale akimweka ndani anamjazia mavitu halafu yeye mwenyewe haeleweki lini kawa mme wa mtu, kisa pesa watakosa sana mpaka wajirekebishe

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Wakaka wenye pesa wanajikutana wanapenda vizuri, wanapenda wadada wazuri kama chakula,

Na shughuli huaga hawana nadhani
Wengi bila bila, kuna mmoja alitaka eti kujizuru kisa mdada mrembo kamuacha wakati yeye ana ukwasi wakutosha, jibu lake mie sikufuata pesa nilikufuata wewe, sasa unaniletea hobela hobela basi baki napesa zako

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Haiwezekani labda hao jamaa Wana sifa sana na masterehe wakati wano kutana nao ni kwenye mabaa mahotelini na lodge kwahiyo wasitarajie jipya zaidi ya kupigwa mizinga
 
[emoji16]watu wanataka miuno tu
 
Ukiachana na masuala ya kiuchumi ambayo wanawake wengi ndio kigezo kikubwa kwao kwa sasa... Kupata mtu wa kusettle nae kwenye mahusiano yenye malengo, imekuwa ngumu sana kwa sasa hivi kama kupata Tanzanite ya Bwana Laizey...
Aisee yaan mbka unajiuliza mm mbya sana au Vp...watu smart tunapata walevi na wah uni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…