Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Hivi wakuu mnaionaje Marekani
Achana na maisha expensive, gharama kubwa za matibabu, mauaji mengi, school shootings, extreme sprawling cities and everything
Ukifikiria kiundani Marekani ina success nyingi sana kwa kweli
Mfano kwenye
1. Entertainment
Marekani mziki wao ni always Global hits, movie zao ndio best kiasi kwamba mtu akisema "Napenda kuangalia movie" automatically tu ni movie za Marekani in most cases
Kwenye Animations, Animated series, TV shows, movie za kila genre wako vyema sana. Best in many things
Kampuni zao ni best in the world
Hivi duniani kuna nchi inazidi USA kwa teknolojia?
Kuanzia magari ya umeme (Tesla). Njoo kwenye software za simu na laptop. Wao ndio wanamiliki big UIs and softwares in the world, kwenye simu Android na iOS zimedominate dunia, zote zinatoka Marekani. Kwenye laptop kuna Windows na MacOS kwa most people zote zinatoka Marekani
Makampuni yao sasa
Ukija kwenye chipset/processor au CPU nk kwenye simu na laptop
Magame yao sasa
Hapa nako shirika kubwa zaidi la haya masuala ni NASA kutoka Marekani
Bado wana Space X
4. Uchumi
Hapa nako wapo mbali. Nchi yao ndio iko on top na ina watu milioni 330, huku China na India zenye watu 1.4B each zinaachwa GDP na USA
Kuna vitu vingi kuhusu Marekani ambavyo hakuna nchi inafikia, lakini naona uvivu kuandika
Nabaki tu kujiuliza inakuwaje nchi moja inafanikiwa hivi 🤔

- Universal Studios
- 20th Century
- Paramount Pictures
- Disney
- Warner Bros
Hivi duniani kuna nchi inazidi USA kwa teknolojia?
Kuanzia magari ya umeme (Tesla). Njoo kwenye software za simu na laptop. Wao ndio wanamiliki big UIs and softwares in the world, kwenye simu Android na iOS zimedominate dunia, zote zinatoka Marekani. Kwenye laptop kuna Windows na MacOS kwa most people zote zinatoka Marekani
Makampuni yao sasa
- Microsoft
- Apple
- HP
- DELL
Ukija kwenye chipset/processor au CPU nk kwenye simu na laptop
- Qualcomm
- MediaTek
- Google Tensor
- Apple A series
- Apple M series
- Intel
- AMD
Magame yao sasa
- Call of Duty
- Fortnite
- EA Sports
- Minecraft etc