New Amsterdam lazima ingekuwa US tu hakuna jinsi, sometimes utafikiri kama mambo yanatokea naturally vile kumbe ni akili kubwa Tu zimekaa na kutafakari Kwa kina na kuona US Kwa Kipindi chetu ndio mahali sahihi pa kwenda na kuongoza dunia...Sehemu yenye diverse population kama US ni mahali sahihi pa kuanzia, hakuna mahali duniani kuna huo mchanganyiko wa watu wengi kama US, US utapata race zote duniani, Kila bara lina watu wake US tena ni raia wa nchi Kwa generations kabisa...
Hili Jambo hata mungu kalibariki Kwa namna kubwa regardless ya tofauti zetu za kiimani, kijamii, kiutamaduni...Kwa mazingira yaliyokuwepo Kipindi hicho hakukuwa na sehemu sahihi zaidi ya US, dunia nzima ilikuwa ni CHAOS kweli kweli, aidha upende au Usipende US kuwa hapo kuna maana kubwa Sana Kwa ustawi wa dunia licha ya baadhi ya matatizo anayoyasababisha.