Inakuwaje nchi moja inakuwa na mafanikio makubwa hivi?

Inakuwaje nchi moja inakuwa na mafanikio makubwa hivi?

Aisifuye mvua imemnyea! It seems wewe ndo mtumiaji mkubwa wa AI, ndio sababu kila wakati unaizungumzia. Hata hivyo, AI is just a tool. AI mimi naiona kama Calculator inayookoa muda na kuongeza ufanisi. Ukipewa hesabu hii: 200022299 + 37373737 + 75757588484848 + 87646553 = ?
Ntakushangaa sana ukisema utatumia akili yako kupata jibu badala ya kutumia Calculator ikutafunie.

Kwa upande wa mahubiri, siitegemei AI kuleta maudhui humu. Ninaye Roho Mtakatifu anayeniongoza niseme nini. Na Neno la Mungu limejaa ndani yangu miaka mingi kabla hiyo AI yako haijazaliwa. Hivyo nikitumia AI, siitumii blindly, naitumia kama kijiko tu cha kunirahisishia kupakua supu. Mimi ndio naki-guide kiweke supu kwenye bakuli lipi😎
Ujinga na low effort ya kufikiria Kuna mtu amekuambia usitumie? The issue inakuja pale unapo letea watu maudhui yaliyoandikwa na AI and unfortunately no one reads stupid low effort content watu wanataka something human written.

Inamaana pengine kuna upeo wa kufikiri umenywimwa hadi unaona AI ikusaidie kuletea watu ujumbe. That's low effort, use it as a reference not as a replacement madam.
 
Kampuni zipo Marekani ila zimeajiri Wachina,wajapani,Wajerumani na watu kutoka mataifa mengi wana mchango mkubwa sana kwenye maendeleo

Mfano mzuri tu ni Kampuni ya Nala inayomilikiwa na Mtanzania Benjamin Fernandes inafanya operations zake Marekani hivyo Marekani ni kama Chama la wana
Hata jeshi la Marekani wapo raia wa kigeni wa kutosha, kuanzia wachina hadi wabongo na wakenya wengi tu

Huku jeshi letu limejaa wakurya wapasua matofali na hawaruhusiwi hata kuwa na ndevu
 
Siri kubwa na Marekani ni kuattract "gobal talent" na haina sera za kikenge kama uzawa, ukija Marekani una nafasi ya kutumia ujuzi na maarifa yako hadi mwisho wa uwezo wako utakulipa binafsi na utajenga nchi, hamna upendeleo ni ushindani tupu! Nguvu yako ya mind, physical, emotional, educational, na vipaji vyako vyote kama vitauza utapata mafao yako na hamna mtu atakukwamisha wala kukuonea wivu.

Kila mwaka Marekani inakaribisha maelfu ya wahamiaji wenye vipaji mbalimbali na wanapewa nafasi sawa kabisa na ya raia ya kufanya yao na pia inakaribisha ujuzi remotely toka kokote duniani ndio maana inabarikiwa na inasonga mbele.

Kwetu sisi ambao tukisikia hata wakenya tu wamekuja kununua mahindi tunatetemeka na kupoteza akili tukifikiri wanataka kuiba ardhi tunabaki tulivyo tu, na Tz inasifika kuwa na watu wenye IQ ndogo na wavivu so tunabaki vilevile hamna kusonga tunafanya ngono tu km priority yetu ya maisha, tukisikia nyeti zinaibiwa tunapanic nchi nzima!

Taifa lolote lenye diverse community na linakubali challenge linasonga mbele bila shaka
Nimecheka sana kwa uchungu, huku ukijaribu kuunda hata GOBOLE huna bahati jela iko wazi 😆
 
Mkuu ni sababu imagine Africa tuungane tuwe nchi moja then tujumuishe uchumi wetu wote huoni tutakuwa powerful state? Same to US
Bado hatuwafikii hata robo, mfano GDP ya Africa yote mwaka 2025 ilikuwa around dola tirioni 2.83 wakati USA pekee yake mwaka huo wa 2025 walikuwa na GDP ya around dola trioni 31.4.
 
Mnajenga TIPPER na akili mgando, itasurvive kweli!?
wanasema tipper ilianzishwa na ushirikiano na italy miaka hiyo ya 60 , baada ya muda ikajifia kwa sababu kadha wa kadha ikiwemo kupitwa na teknolojia mpya .

miundombinu kujifia hapa kwetu si jambo geni sana
 
Hivi wakuu mnaionaje Marekani
Achana na maisha expensive, gharama kubwa za matibabu, mauaji mengi, school shootings, extreme sprawling cities and everything
Ukifikiria kiundani Marekani ina success nyingi sana kwa kweli

Mfano kwenye
1. Entertainment
Marekani mziki wao ni always Global hits, movie zao ndio best kiasi kwamba mtu akisema "Napenda kuangalia movie" automatically tu ni movie za Marekani in most cases
Kwenye Animations, Animated series, TV shows, movie za kila genre wako vyema sana. Best in many things

Kampuni zao ni best in the world
  • Universal Studios
  • 20th Century
  • Paramount Pictures
  • Disney
  • Warner Bros
2. Technology
Hivi duniani kuna nchi inazidi USA kwa teknolojia?
Kuanzia magari ya umeme (Tesla). Njoo kwenye software za simu na laptop. Wao ndio wanamiliki big UIs and softwares in the world, kwenye simu Android na iOS zimedominate dunia, zote zinatoka Marekani. Kwenye laptop kuna Windows na MacOS kwa most people zote zinatoka Marekani
Makampuni yao sasa
  • Microsoft
  • Google
  • Apple
  • HP
  • DELL
All best chatbots kuanzia ChatGPT, Grok, Copilot hadi Gemini ni za Marekani

Ukija kwenye chipset/processor au CPU nk kwenye simu na laptop
  • Qualcomm
  • MediaTek
  • Google Tensor
  • Apple A series
  • Apple M series
  • Intel
  • AMD
Hizi zote za Marekani

Magame yao sasa
  • GTA
  • Call of Duty
  • Fortnite
  • EA Sports
  • Minecraft etc
3. Space Exploration
Hapa nako shirika kubwa zaidi la haya masuala ni NASA kutoka Marekani
Bado wana Space X

4. Uchumi
Hapa nako wapo mbali. Nchi yao ndio iko on top na ina watu milioni 330, huku China na India zenye watu 1.4B each zinaachwa GDP na USA

Kuna vitu vingi kuhusu Marekani ambavyo hakuna nchi inafikia, lakini naona uvivu kuandika
Nabaki tu kujiuliza inakuwaje nchi moja inafanikiwa hivi 🤔
Wanasema Iran Ina mafanikio kuliko US
 
Ujinga na low effort ya kufikiria Kuna mtu amekuambia usitumie? The issue inakuja pale unapo letea watu maudhui yaliyoandikwa na AI and unfortunately no one reads stupid low effort content watu wanataka something human written.

Inamaana pengine kuna upeo wa kufikiri umenywimwa hadi unaona AI ikusaidie kuletea watu ujumbe. That's low effort, use it as a reference not as a replacement madam.
My friend, kama husomi ni wewe. Hizo likes huzioni?

Ni kweli watu wanathamini human touch, lakini hilo halimaanishi kwamba kutumia AI kunafuta ubinadamu wa mtu. Nimeishakuambia, AI ni chombo tu, kama kalamu au kompyuta. Kilicho muhimu sio chombo kilichotumika, bali ujumbe, ukweli wake, na athari yake kwa msomaji.

Zaidi ya hapo, hata tunapotumia AI, bado tunachuja, kurekebisha, na kuweka mawazo yetu wenyewe. Hivyo bado ni human-guided, sio kitu kilichoanguka tu kutoka hewani.

Watu hawaguswi na ‘imeandikwa na nani’, wanaguswa na ‘imebeba ujumbe gani’

By the way, tumia effort basi hata ku-proofread comments zako kabla ya ku-post. What's this: "something human written.?" Ulipaswa kuandika hivi: "Watu wanataka something human-written." Using a hyphen makes it clear "human" describes "written." Au ungesema "Watu wanataka something written by a human."
 
Hivi wakuu mnaionaje Marekani
Achana na maisha expensive, gharama kubwa za matibabu, mauaji mengi, school shootings, extreme sprawling cities and everything
Ukifikiria kiundani Marekani ina success nyingi sana kwa kweli

Mfano kwenye
1. Entertainment
Marekani mziki wao ni always Global hits, movie zao ndio best kiasi kwamba mtu akisema "Napenda kuangalia movie" automatically tu ni movie za Marekani in most cases
Kwenye Animations, Animated series, TV shows, movie za kila genre wako vyema sana. Best in many things

Kampuni zao ni best in the world
  • Universal Studios
  • 20th Century
  • Paramount Pictures
  • Disney
  • Warner Bros
2. Technology
Hivi duniani kuna nchi inazidi USA kwa teknolojia?
Kuanzia magari ya umeme (Tesla). Njoo kwenye software za simu na laptop. Wao ndio wanamiliki big UIs and softwares in the world, kwenye simu Android na iOS zimedominate dunia, zote zinatoka Marekani. Kwenye laptop kuna Windows na MacOS kwa most people zote zinatoka Marekani
Makampuni yao sasa
  • Microsoft
  • Google
  • Apple
  • HP
  • DELL
All best chatbots kuanzia ChatGPT, Grok, Copilot hadi Gemini ni za Marekani

Ukija kwenye chipset/processor au CPU nk kwenye simu na laptop
  • Qualcomm
  • MediaTek
  • Google Tensor
  • Apple A series
  • Apple M series
  • Intel
  • AMD
Hizi zote za Marekani

Magame yao sasa
  • GTA
  • Call of Duty
  • Fortnite
  • EA Sports
  • Minecraft etc
3. Space Exploration
Hapa nako shirika kubwa zaidi la haya masuala ni NASA kutoka Marekani
Bado wana Space X

4. Uchumi
Hapa nako wapo mbali. Nchi yao ndio iko on top na ina watu milioni 330, huku China na India zenye watu 1.4B each zinaachwa GDP na USA

Kuna vitu vingi kuhusu Marekani ambavyo hakuna nchi inafikia, lakini naona uvivu kuandika
Nabaki tu kujiuliza inakuwaje nchi moja inafanikiwa hivi 🤔
Kinachombeba Marekani ni Mbinu ya kuweza ku integrate consciousness na intelligence... Kwa masrahi yake binafsi.

Wametengeneza mfumo unaochuja watu[sera]... automatically unachagua watu wajanja na wenye nia na uthubutu maishani, pia unachagua watu wenye vipaji zaidi.
 
Hapa nalenga wale watu wanaohamia au wanaozamia au wanaoenda tour ya elimu uchumi na hata masuala ya kijamii.

Asilimia kubwa ni wale top cream kutoka mataifa yao huko walikotoka wanaotoloka kwao kukame, kiutawala[sera] na kwenda kutafuta mahari kwenye more edible green pastures[sera]... Ambayo ni Marekani.

All in all kazi yote hiyo inafanywa na majasusi[CIA] RESEARCH katika mambo yote wanayoona yanapotential na ku make use ya uvumbuzi huo katika mindset ya ushindani katika kiuchumi globally.
 
Bado hatuwafikii hata robo, mfano GDP ya Africa yote mwaka 2025 ilikuwa around dola tirioni 2.83 wakati USA pekee yake mwaka huo wa 2025 walikuwa na GDP ya around dola trioni 31.4.

Hata tukibadilishana wao waje Africa halafu sisi tuhamie kule jinsi palivyo na Africa jinsi ilivyo miaka 50 ijayo America itakua shithole na Africa itakuwa developed kiasi cha kuwa superpower

Weusi tujua kuharibu tu sio kujenga, tazama SA ya makaburu na ya ANC, tazama Zimbabwe ya kina Smith na ya ZANU-PF utajua tukoje
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom