Inakuwaje nchi moja inakuwa na mafanikio makubwa hivi?

😄😄😄 wewe bibi kwenye noti yao pia kuna nembo ya Freemason. Unasemaje hapo?
😀😀😀Wewe babuu, hiyo sio nembo ya Freemasons, ni Great Seal of the United States. Alama zake zinamaanisha Mungu anayeongoza taifa, sio ushahidi wa Freemasonry
 
Hujui chochote, America haikujengewa juu ya misingi ya dini, founding fathers wake walikuwa ni Deists na Wakristo wa kuchovya tu, wajinga wajinga wafia dini walokole kama wewe walipoongezeka ndio walianza kulazimisha kuchanganya dini na siasa/utawala wa nchi.
Soma pia kuhusu Treaty of Tripoli (1797).
 
Acheni ujinga, na upuuzi tumia logic na sio random believes. USA nguvu yake kubwa imetokana na vita ya dunia.
Rafiki, jina lako "David" lina uzito mkubwa sana. David ni mtu aliyependwa na Mungu. Katika Biblia, David alikuwa karibu na moyo wa Mungu. Hivyo inapendeza zaidi mtu mwenye jina hili aakisi upendo, hekima na heshima aliyokuwa nayo David wa Biblia hata katika usemi wake. Usemi wako unapunguza heshima ya jina lako. Ni ushauri tu kwako sio amri.
 
We kaka, your claim is an oversimplification. Ni kweli some Founding Fathers held Deist views, hata hivyo wengine kati yao were openly Christian, and the early American public sphere was undeniably shaped by a broadly biblical worldview. Hiyo phrase ‘In God We Trust’ was not imposed by ‘fanatics,’ but formally adopted in the 1860s after petitions from Christian citizens, under Salmon P. Chase, during a national crisis.

Kuhusu hiyo Treaty ya Tripoli, Article 11 reflects a diplomatic context aimed at assuring a Muslim state that the U.S. had no official religious hostility. Haipingi the pervasive influence of the Bible on American moral and cultural foundations. So historically, the issue is not ‘religion vs. state,’ but the undeniable role of biblical theism in shaping American identity, even if not formally established as a state church.
 
Acha ujinga madam, wewe hubiri lakini sio kila kitu utaleta masuala ya Mungu. Pia suala la jina ni kutokan na sehem nipo zaliwa waliamua kunipa.

Wafia dini kwanini huwa mnawaza non logical things?
 
Siri ni moja tu WANA URAFIKI USIOPINGIKA NA TAIFA TEULE LA ISRAEL.
 
Hivi huoni aibu kutumia AI, kujibu maswali yanayohitaji logic. Dah! Mama mchungaji watu hawasomi hoja za AI, tumia kujifunza na sio kureplace akili yako.
 
Hivi huoni aibu kutumia AI, kujibu maswali yanayohitaji logic. Dah! Mama mchungaji watu hawasomi hoja za AI, tumia kujifunza na sio kureplace akili yako.
Hongera kama unafikiri shule ulienda peke yako. Logic and truth do not need an author; they stand on their own
 
petrodollar


Marekani alikuwa nyuma ya German na ilibaki kdg tu awe nyuma ya japan maana hao ndo vichwa sasa..


Marekan uchumi wake ume jengwa na deni lake alilonalo....petrodollar ndo backbone yake so ana pesa nyingi kuwaza kununua kipaji ama akili yoyote ya ubunifu
 
Marekani sio nchi moja ni muungano wa nchi zaidi ya 50
 
Hongera kama unafikiri shule ulienda peke yako. Logic and truth do not need an author; they stand on their own
Ujinga huu, madam endelea kuhubiri na kutumia AI kuleta maudhui humu JF. Ingawa I sometimes hate AI generated content maana ni moja low effort content. Hufikiri hadi AI ikutafunie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…