Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Kabisa mkuu petrodollar system na vikwazo kwa mataifa mengine yamemfanya jamaa kuinuka mno.petrodollar
Marekani alikuwa nyuma ya German na ilibaki kdg tu awe nyuma ya japan maana hao ndo vichwa sasa..
Marekan uchumi wake ume jengwa na deni lake alilonalo....petrodollar ndo backbone yake so ana pesa nyingi kuwaza kununua kipaji ama akili yoyote ya ubunifu
Siri kubwa na Marekani ni kuattract "gobal talent"
Sio kweli mzee kuwa na refinery plant sio jambo dogo inagharimu sana halafu kwa Uganda bado soko lao la mafuta ni dogo. Kwahiyo ni bora wauze mafuta ghafiJuzi nilikuwa nafanya research ni kwamba hapo Uganda hiyo crud oil anayotoa anashindwa ku refine fuel dah kumbe petrodollar agreement Ina mlimit hadi atume hiyo crud ikawe refined nchi nyingine.
Sifahamu sana boss nilikuwa na research. Ingawa Kuna sababu nyingi ambazo sijaangalia, lkn nilipo toa taarifa wanadai USA anavikwazo vingi kwenye nchi zenye resources nying.Sio kweli mzee kuwa na refinery plant sio jambo dogo inagharimu sana halafu kqa Uganda soko ni dogo. Kwahiyo ni bora wauze mafuta ghafi
Tanzania tulikuwa na TIPPER unafikiri kwa nini ilikufa? Cost ya kuoperate haikuendaa na mapato
Hapo petrodollar hata haihusiki
Aisifuye mvua imemnyea! It seems wewe ndo mtumiaji mkubwa wa AI, ndio sababu kila wakati unaizungumzia. Hata hivyo, AI is just a tool. AI mimi naiona kama Calculator inayookoa muda na kuongeza ufanisi. Ukipewa hesabu hii: 200022299 + 37373737 + 75757588484848 + 87646553 = ?Ujinga huu, madam endelea kuhubiri na kutumia AI kuleta maudhui humu JF. Ingawa I sometimes hate AI generated content maana ni moja low effort content. Hufikiri hadi AI ikutafunie.
Wewe mpuuzi ndo wale mnaosemaga Israel ni taifa teule.😀😀😀Wewe babuu, hiyo sio nembo ya Freemasons, ni Great Seal of the United States. Alama zake zinamaanisha Mungu anayeongoza taifa, sio ushahidi wa Freemasonry
Kama ni Israel hii ya Netanyahu basi hata huyo "Mungu" aliyeahidi hivyo akapimwe akili.Umejibu vizuri pia. Ahadi ya Mungu kwa wanaoibariki Israeli iko wazi: "Anayekubariki nitambariki." (Mwa 12:3)
So does God allow same sex marriage? Abortion rights?The phrase ‘IN GOD WE TRUST’ is historically rooted in the Christian understanding of God as revealed in the Bible. Its adoption on U.S. currency was first prompted in 1861 by Salmon P. Chase, who, after receiving petitions from Christian leaders, instructed that the nation should explicitly acknowledge God on its coinage. This reflects a distinctly biblical theistic framework, consistent with the broader Christian foundation of early American public expressions of faith.
Hatakama ni nchi nyingi ila zimeungana kiakili. Tanganyika imeungana na zanzibar lakini inazidiwa GDP na Kenya ambayo haijaungana na nchi yoyote!Marekani siyo nchi moja, ni muungano wa Nchi tofauti tofauti 51.
Mnajenga TIPPER na akili mgando, itasurvive kweli!?Sio kweli mzee kuwa na refinery plant sio jambo dogo inagharimu sana halafu kwa Uganda bado soko lao la mafuta ni dogo. Kwahiyo ni bora wauze mafuta ghafi
Tanzania tulikuwa na TIPPER unafikiri kwa nini ilikufa? Cost ya kuoperate haikuendaa na mapato
Hapo petrodollar hata haihusiki
Upo sahihi mkuuWewe bado ni mtoto