Inakuwaje nchi moja inakuwa na mafanikio makubwa hivi?

Ujinga na low effort ya kufikiria Kuna mtu amekuambia usitumie? The issue inakuja pale unapo letea watu maudhui yaliyoandikwa na AI and unfortunately no one reads stupid low effort content watu wanataka something human written.

Inamaana pengine kuna upeo wa kufikiri umenywimwa hadi unaona AI ikusaidie kuletea watu ujumbe. That's low effort, use it as a reference not as a replacement madam.
 
Hata jeshi la Marekani wapo raia wa kigeni wa kutosha, kuanzia wachina hadi wabongo na wakenya wengi tu

Huku jeshi letu limejaa wakurya wapasua matofali na hawaruhusiwi hata kuwa na ndevu
 
Nimecheka sana kwa uchungu, huku ukijaribu kuunda hata GOBOLE huna bahati jela iko wazi 😆
 
Mkuu ni sababu imagine Africa tuungane tuwe nchi moja then tujumuishe uchumi wetu wote huoni tutakuwa powerful state? Same to US
Bado hatuwafikii hata robo, mfano GDP ya Africa yote mwaka 2025 ilikuwa around dola tirioni 2.83 wakati USA pekee yake mwaka huo wa 2025 walikuwa na GDP ya around dola trioni 31.4.
 
Hata jeshi la Marekani wapo raia wa kigeni wa kutosha, kuanzia wachina hadi wabongo na wakenya wengi tu

Huku jeshi letu limejaa wakurya wapasua matofali na hawaruhusiwi hata kuwa na ndevu
Sahihi kabisa
 
Mnajenga TIPPER na akili mgando, itasurvive kweli!?
wanasema tipper ilianzishwa na ushirikiano na italy miaka hiyo ya 60 , baada ya muda ikajifia kwa sababu kadha wa kadha ikiwemo kupitwa na teknolojia mpya .

miundombinu kujifia hapa kwetu si jambo geni sana
 
Wanasema Iran Ina mafanikio kuliko US
 
My friend, kama husomi ni wewe. Hizo likes huzioni?

Ni kweli watu wanathamini human touch, lakini hilo halimaanishi kwamba kutumia AI kunafuta ubinadamu wa mtu. Nimeishakuambia, AI ni chombo tu, kama kalamu au kompyuta. Kilicho muhimu sio chombo kilichotumika, bali ujumbe, ukweli wake, na athari yake kwa msomaji.

Zaidi ya hapo, hata tunapotumia AI, bado tunachuja, kurekebisha, na kuweka mawazo yetu wenyewe. Hivyo bado ni human-guided, sio kitu kilichoanguka tu kutoka hewani.

Watu hawaguswi na ‘imeandikwa na nani’, wanaguswa na ‘imebeba ujumbe gani’

By the way, tumia effort basi hata ku-proofread comments zako kabla ya ku-post. What's this: "something human written.?" Ulipaswa kuandika hivi: "Watu wanataka something human-written." Using a hyphen makes it clear "human" describes "written." Au ungesema "Watu wanataka something written by a human."
 
Kinachombeba Marekani ni Mbinu ya kuweza ku integrate consciousness na intelligence... Kwa masrahi yake binafsi.

Wametengeneza mfumo unaochuja watu[sera]... automatically unachagua watu wajanja na wenye nia na uthubutu maishani, pia unachagua watu wenye vipaji zaidi.
 

Hapa nalenga wale watu wanaohamia au wanaozamia au wanaoenda tour ya elimu uchumi na hata masuala ya kijamii.

Asilimia kubwa ni wale top cream kutoka mataifa yao huko walikotoka wanaotoloka kwao kukame, kiutawala[sera] na kwenda kutafuta mahari kwenye more edible green pastures[sera]... Ambayo ni Marekani.

All in all kazi yote hiyo inafanywa na majasusi[CIA] RESEARCH katika mambo yote wanayoona yanapotential na ku make use ya uvumbuzi huo katika mindset ya ushindani katika kiuchumi globally.
 
Bado hatuwafikii hata robo, mfano GDP ya Africa yote mwaka 2025 ilikuwa around dola tirioni 2.83 wakati USA pekee yake mwaka huo wa 2025 walikuwa na GDP ya around dola trioni 31.4.

Hata tukibadilishana wao waje Africa halafu sisi tuhamie kule jinsi palivyo na Africa jinsi ilivyo miaka 50 ijayo America itakua shithole na Africa itakuwa developed kiasi cha kuwa superpower

Weusi tujua kuharibu tu sio kujenga, tazama SA ya makaburu na ya ANC, tazama Zimbabwe ya kina Smith na ya ZANU-PF utajua tukoje
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…