Inakuwaje nchi moja inakuwa na mafanikio makubwa hivi?

Mkuu ni sababu imagine Africa tuungane tuwe nchi moja then tujumuishe uchumi wetu wote huoni tutakuwa powerful state? Same to US
Kama China, Russia, india wameshindwa kuifikia US basi hata nchi zote za Africa zingeungana kamwe haziwezi ifikia. US ni dude jingine huwezi lnganisha na africa a.k.a bara la giza. Tanganyika imeungana na Zanzibar na ndiyo kwanza ipo kwenye uchumi duni tena hoi wa kumuongezea tozo mwananchi ili ipate pesa. Nchi kama japan ni nchi ndogo sana na haijaungana na yeyote na still ni namba 3 kiuchumi.
 
Reactions: K11
Nadhani Kuna factor nyingi hadi US imeinuka. Mostly, ni serekali yao na sera zao za nchi. Pia vita ya pili ya Dunia imesaidia mno kwenye kuboost uchumi wao. Kingine ni mikataba na nchi nyingi ambazo wao Wana benefit kwao hamna wanachopoteza naweza kusema sehemu kama Congo Sasa hivi US ni mnufaika wa zile rasilimali.

Hili la state inawezekana but not a main factor I agree.
 
New Amsterdam lazima ingekuwa US tu hakuna jinsi, sometimes utafikiri kama mambo yanatokea naturally vile kumbe ni akili kubwa Tu zimekaa na kutafakari Kwa kina na kuona US Kwa Kipindi chetu ndio mahali sahihi pa kwenda na kuongoza dunia...Sehemu yenye diverse population kama US ni mahali sahihi pa kuanzia, hakuna mahali duniani kuna huo mchanganyiko wa watu wengi kama US, US utapata race zote duniani, Kila bara lina watu wake US tena ni raia wa nchi Kwa generations kabisa...

Hili Jambo hata mungu kalibariki Kwa namna kubwa regardless ya tofauti zetu za kiimani, kijamii, kiutamaduni...Kwa mazingira yaliyokuwepo Kipindi hicho hakukuwa na sehemu sahihi zaidi ya US, dunia nzima ilikuwa ni CHAOS kweli kweli, aidha upende au Usipende US kuwa hapo kuna maana kubwa Sana Kwa ustawi wa dunia licha ya baadhi ya matatizo anayoyasababisha.
 
Marekani ndio nchi yenye mchanganyiko wa watu kutoka duniani kote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…