Inakuwaje nchi nyingi kubwa za Kiarabu mpaka leo hii zimeshindwa kuiteketeza nchi ndogo kama Israel?

Inakuwaje nchi nyingi kubwa za Kiarabu mpaka leo hii zimeshindwa kuiteketeza nchi ndogo kama Israel?

Kama mngekuwa mnaifuatilia Italy ingekuwa vizuri sana maana ndio ndugu zenu na ndio waliyokuleteeni ukristo

Italy is officially a secular state. Christianity is the majority Religion followed by almost 84% of the population and Roman Catholicism is its main branch.

Lakini waisrael Wala hawana mpango na ukristo Sasa sijui kwa nini mnajipendekeza sana kwao

The religious affiliation of the Israeli population as of 2019[3] was 74.2% Jewish, 17.8% Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths
Historia ya standard VII inakupiga chenga vibaya, fuatilia vizuri nchi zilizoleta Ukristu Afrika.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hizo nchi zimegawanyika hazipo pamoja, halafu Israel inakingiwa kifua na kuungwa mkono na Marekani, wanapokea misaada mingi mikubwa kutoka Marekani, usijidanganye Israel bila Marekani si lolote si chochote, ndio maana kapigwa na Hezbollah tu , hizo nchi zote za kiarabu ni vibaraka wa Marekani.

Kwani nchi za ki arabu haziwezi kumpiga mmarekani ?

Muslim umma unamuogopa muisrael sababu ya mmarekani ?
 
Back
Top Bottom