Inakuwaje safari ya Rais inagharamiwa na Wananchi wachache ambao hawataji majina yao? Je, haya sio mazingira ya kulipana fadhila kwa ufisadi?

Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili.

Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour.

Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali.

Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na kampuni yao yao CBS.

Baadae mkuu wa nchi anaibuka akiwa jijini Arusha na kudi kuwa ni pesa zilizochangwa na watanzania.

Je, ni akina nao waliochanga kimya kimya ili kufanikisha Royal tour?

Je, wamejitolea bila hata kutegemea chochote?

Kwa nini zisitumike pesa za Umma? Au ndio kuandaa mazingira?
Huyu mwanamama atauza kila kitu, ikiwezekana hata baadhi ya makabwela watauzwa kwa wenye nazo.

Kinachosikitisha ni kwamba hakuchaguliwa na yeyote, na wala sera zake hizi hakuzinadi kwa yeyote ili wananchi wamchague ili ayekeleze aliyoahidi.
Yeye kadandia tu kwa Mwendazake, kimya kimya huku akiumia moyoni na mienendo ya basi wake na sera zake, kumbe alikuwa hazikubali kabisa!

Mara vuuu, pera likamdondokea kichwani. Katupilia mbali tena kwa spidi ya radi, yale yote aliyokuwa akiyasimamia bosi, na kuingiza ya kwake bila ya idhini ya mtu yeyote. Si chama chake, wala wanachi.

Hali hii ni udhaifu mkubwa sana katika muundo wa utawala wa nchi yetu.

Mtu kama kaachiwa/karithi serikali, asiruhusiwe kuingiza ya kwake nje kabisa ya yale wananchi waliyokusudia serikali ikayatimize. Kama anataka kuingiza ya kwake, basi aende kwa wananchi wampe baraka zao, lakini siyo kuvamia kwa ujambazi kiasi hiki.
 
Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili.

Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour.

Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali.

Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na kampuni yao yao CBS.

Baadae mkuu wa nchi anaibuka akiwa jijini Arusha na kudi kuwa ni pesa zilizochangwa na watanzania.

Je, ni akina nao waliochanga kimya kimya ili kufanikisha Royal tour?

Je, wamejitolea bila hata kutegemea chochote?

Kwa nini zisitumike pesa za Umma? Au ndio kuandaa mazingira?
Watanzania Mashuhuri - "IKULU NI MAHALI PATAKATIFU", Mwalimu ...

27 May 2013 — "IKULU NI MAHALI PATAKATIFU", Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Moja ya nukuu muhimu za Baba wa Taifa Mwalimu
 
Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili.

Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour.

Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali.

Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na kampuni yao yao CBS.

Baadae mkuu wa nchi anaibuka akiwa jijini Arusha na kudi kuwa ni pesa zilizochangwa na watanzania.

Je, ni akina nao waliochanga kimya kimya ili kufanikisha Royal tour?

Je, wamejitolea bila hata kutegemea chochote?

Kwa nini zisitumike pesa za Umma? Au ndio kuandaa mazingira?
Na hiyo fundraising iliitishwa lini?
 
Sukuma gang mnateseka sana mwaka huu! Na bahati mbaya kwwnu safari ndio kwanza imeanza...Mama has 8 more years to go so you will have to deal with it! Huu upuuzi unaouliza uliwahi jiuliza wakati serikali inajenga uwanja wa ndege Chato hiyo hela iliyoongezeka nje ya bajeti ilitoka wapi? Na kwanini kampuni ya mhusika tena isiyo na uzoefu ndio ipewe tenda ya ujenzi uliokuzwa thamani?

Uliwahi kuuliza kwanini Tanroad watu wa mabarabara wapewe tender ya kuagiza mtambo wa sukari na kuingia mitini baada ya kulipwa hela?

Tukitaka katiba mnatutukana sa umeongea nn
 
Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili.

Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour.

Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali.

Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na kampuni yao yao CBS.

Baadae mkuu wa nchi anaibuka akiwa jijini Arusha na kudi kuwa ni pesa zilizochangwa na watanzania.

Je, ni akina nao waliochanga kimya kimya ili kufanikisha Royal tour?

Je, wamejitolea bila hata kutegemea chochote?

Kwa nini zisitumike pesa za Umma? Au ndio kuandaa mazingira?
Kama unamfahamu mmiliki mpya wa Tigo aliyeonekana marekani akisaini nyaraka fulani White house huku pembeni yake yupo bi mkubwa wetu hutapata shida tena
 
Mimi sikuchaguliwa na wananchi kuja kupafanya pango la walanguzi - Mwalimu JK Nyerere
 
Sukuma gang mnateseka sana mwaka huu! Na bahati mbaya kwwnu safari ndio kwanza imeanza...Mama has 8 more years to go so you will have to deal with it! Huu upuuzi unaouliza uliwahi jiuliza wakati serikali inajenga uwanja wa ndege Chato hiyo hela iliyoongezeka nje ya bajeti ilitoka wapi? Na kwanini kampuni ya mhusika tena isiyo na uzoefu ndio ipewe tenda ya ujenzi uliokuzwa thamani?

Uliwahi kuuliza kwanini Tanroad watu wa mabarabara wapewe tender ya kuagiza mtambo wa sukari na kuingia mitini baada ya kulipwa hela?
Jibu Murua kabisa Mkuu. Hiyo sukuma gang ikichukia Sana isage chupa inywe ikazikwe pembeni mwa kaburi la Mfalme wao. Watuachie Malkia wetu Mh. Samia Suluhu Hassan. Wanateseka kwelikweli 🤣🤣🤣🤣
 
Vile vile swala la Afya ya kiongozi aliyepita lina mahusiano gani na maswala ya utalii??

Kwamba Magufuli alipata korona.

Sawa. Inamahusiano gani na kutembelea wanyama Serengeti.
kwani mtu akisema ukweli kuna tatizo, sasa wewe tuambie alipata nini?
 
Swala la Corona mbona liko wazi ndiyo ilimuondoa. Hebu tujiulize alifia Mzena? Waliokuwa njiani kwenda alikokuwa walifika wakakuta mambo yameshaharibika wakarudi na dawa zao!!!! Lile gari la Turubai lilibeba nini? Mwenye Ile picha please rusha hapa!!! Sukuma gang mtuache. Mfalme wenu alikebehi Corona ikamnyoosha. Nikikumbuka nilivyopoteza ndugu zangu yaani sina hamu na Yule Shetani. Watanzania wengi walikufa Kwa uzembe wa kusikiliza maneno ya kiongozi wa nchi wakamwamini.
 
Mnataka Rais wetu Samia Suluhu Hassan awe mwongo kama Yule Mwendazake? Acha aseme ukweli na ukweli utamweka huru. Kwanza Wananchi ilitakiwa tutangaziwe ukweli kuwa Korona ilipita na Yule mbishi wa Karne.
 
Back
Top Bottom