Inakuwaje sarafu za milioni 200 zinafichwa mamlaka zisishtuke mapema?

Mil 200 Ni pesa nyingi za kukamatwa?
 
Hayo 9 wangekuja huku Temeke Dar .
Kwa siku mchina anaondoka na mamilioni ya bodaboda, wachoma chips, na vijana waokota makopo .

Bila shaka Wachina wanatumia uchawi, maana si kwa kula kule. Wanacheza vijana 30 anabahatika mmoja kula elfu 10 huku 29 wote wameliwa jumla ya laki na ushehe.
Kila kona huku wameweka dubwi
 
Tatizo Ni Nini? Hao vijana wanashikiwa visit kucheza?
 
Kwanza Bodi ya bahati nasibu sidhani kama wana wataalamu wa kutosha wa kuchezea hizi mashine za kichina kujua ni fake au la.

Mchina mjanja ana kirimoti kidogo anaseti anawapiga weeeee then anawaachia kidogo.

Kuna majamaa wanajua kuzcheza na zile machines, Wakija wanamzuga mwagalizi huku wanayachokonoa. Then kila wakiweza mia mbili zinamiminika pesa.

Sijui wako wapi wale jamaa, mchina hawapendi.
 
Mkuu, una elimu gani, tuanzie hapa kwanza..

1. Unafaham madhara ya kiuchumi kwa baadhi ya watu ku hold pesa bila kuziingiza kwenye mzunguko!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo niko na wewe...

Kwa sheria za bank kwa nchi yetu, Je, unajua ni chombo gani chenye mamlaka ya kutoa change!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukitaka ukweli na haki hizo sarafu hazikufichwa.

Hao wachina wana leseni na wanalipa kodi kwa ajili ya biashara yao ya kamali ambayo ipo mkoa mzima wa Morogoro kuanzia Morogoro mjini hadi wilayani hadi Dodoma

Mashine zao za kamali haziingii noti zinaingia sarafu sasa mlitaka wahifadhi noti kwa ajili ya kusupply mashine zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanamashine zaidi ya 500 ulitaka wasupply noti kwenye hizo mashine

je hawalipi kodi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, unadhani wametumia mda gani kukusanya hizo pesa!??

Bank ina kazi gani mkuu!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani huo ni uonevu tu wa mamlaka.

Hao wachina wana mashone zao za kuchezesha kamari na wameruhusiwa na mamlaka.
Na wanalipa kodi.

Sasa Mamlaka ilipowaruhusu waweke makorokoro mitaani walijua kuwa yanaweka ili yagawe maziwa?
Bro haya mambo yapo Tz tu..sasa unampa mtu kibali afanye biashara na mtaji wake ni coins alafu zikiwa nyingi unamkamta ili iweje wanataka wachezeshe hizo kamali kwa kutumia uterine fibroids au...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, una elimu gani, tuanzie hapa kwanza..

1. Unafaham madhara ya kiuchumi kwa baadhi ya watu ku hold pesa bila kuziingiza kwenye mzunguko!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni lazma ziwe kwenye mzunguko wakat hyo ndo flowing capital kulingana na mashine zao???huwezi kuweka justification kwamba wazipeleke kwenye mzunguko wakat ndo capital alafu hiyo biashara ita run na nini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam, kama hawakuiba hakuna shida. Mbona watu wameweka dola za US hapa lakini Marekani hailalamiki?
 
Mimi nachezesha game ps2, 3 na 4 mara nyingi hujikuta nina hadi laki 1 ya sarafu za shilingi hamsini, mia, mia mbili na mia tano.

Je na mimi siku yangu yaja?
 
Sio kwamba wanazificha, hao wanafanya biashara ya kamari ambazo zinatumia coins(200) ili kuchezesha ambapo utakuta mashine moja lazima iwe na mtaji wa hizo coins wa laki mbili ndani yake, ili mtu akila ziweze kutoka kama zawadi ya ushindi huo.

Sasa kama mkoa mzima wa Morogoro wana mashine unategemea nini, lazima wawe na pesa hizo, za kwenda kuongeza pindi mashine inapoishiwa/pungukiwa mtaji, na sio kama ni kweli kuwa hizo 200 lazima ziwe zimekusanywa kutoka Morogoro tu, inawezekana hata kwenye mabank, dar pia wanachukua.

Kosa ambalo serikali ilifanya ni kuruhusu pesa za nchi hasa hizo coins(200/100) kutumika kwenye mashine za michezo ya kubahatisha, na pool table,badala ya TOKEN!! leo ndio wanakuja kusema kuwa ni kosa kutumia pesa badala ya token, baada ya kuwakamata hao wachina!!! Wakati ni miaka mingi tu coins ndio zinatumika!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…