Mil 200 Ni pesa nyingi za kukamatwa?Mkuu tatizo hapo sio kukusanya izo coins. Tatizo ni kuwa wanakwepa kodi hawa jamaa. Unakuta mtu amechukua kibali cha kuchezesha kmali cha mashine 100 tu. Kumbe amesambaza mashine 200. Na ukiwa na mashine nyingi ni lazima uwe na coins nying za kusambaza.
Kitu kingine kunakiwango maalumu cha pesa mtu anatakiwa awe nacho kama cash. Kikizidi ni makosa.
Sasa uyo mchina kosa linaweza kuwa ni kuwa na kiwango kikubwa cha pesa in cash.
Sent using Jamii Forums mobile app