Shida yetu watanzania kila mmoja anajua mambo kuliko mwenzake, na kila mmoja anajua siri za nchi na jinsi inavyoongozwa na taratibu zake zote kuliko mwingine, na ndio maana mtu akiulizwa swali, badala ya kujibu anakimbilia kuanza kumuona mwenzake punguani hana akili na uelewa
Hongera wewe genius
Huo utaahira wake ambao wewe huna ndio kipengere kilichohitajika
Sidhani kama utaelewa π
Huyo Mengele namfahamu tangu alipotoka kijijini na kuwa house boy wa kina Ray pale Mori sinzaKama unamuelewa Mengele sidhani kama tunaweza kuelewana. Let's stop there!!
huezi kujua huenda wana ikulu yao nyingine ya kuzimu haya makanisa ya kiroho yanamengiOktoba 28, 2024 katika msiba wa msaidizi wa Mwamposa, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere alitambulishwa kama mtu anayeongoza protocol Ikulu pale msibani.
Ilikuwa bahati mbaya au ni uhalisia? Bado nawaza!
Nyerere angeamua kuuamini ubepari leo hii wengi wetu hata hiki kidogo tulichonacho tungekisikia radioni.Hata ulaya nchi za kijamaa ni masikini,akina bulgaria, romania etc
C'est la Vie, Such is life.Just brilliant! πππ
Tungekuwa na huo ukabila, huu upumbavu wa sisiemu wa kuwafanya raia dekio, usingekuwepo bila shaka hivi sasaNyerere angeamua kuuamini ubepari leo hii wengi wetu hata hiki kidogo tulichonacho tungekisikia radioni.
Alileta usawa na akafuta uchifu uliokuwa msingi wa ukabila na dhambi ya kubaguana.
Huu upumbavu katika mataifa mengine upo katika hali mbaya zaidi. Aliongoza kwa miaka 23 ya mwanzo, waliomfuatia wabebeshwe lawama kwa mengi mabaya yaliyofuatia.Tungekuwa na huo ukabila, huu upumbavu wa sisiemu wa kuwafanya raia dekio, usingekuwepo bila shaka hivi sasa