Inakuwaje Steve Nyerere anaongoza Protocol ya Ikulu?

Inakuwaje Steve Nyerere anaongoza Protocol ya Ikulu?

Shida yetu watanzania kila mmoja anajua mambo kuliko mwenzake, na kila mmoja anajua siri za nchi na jinsi inavyoongozwa na taratibu zake zote kuliko mwingine, na ndio maana mtu akiulizwa swali, badala ya kujibu anakimbilia kuanza kumuona mwenzake punguani hana akili na uelewa

Hongera wewe genius

Obvious kuna uandishi mwingine unaakisi uelewa wa mtu ni wa aina gani
 
Kama unamuelewa Mengele sidhani kama tunaweza kuelewana. Let's stop there!!
Huyo Mengele namfahamu tangu alipotoka kijijini na kuwa house boy wa kina Ray pale Mori sinza

Na Sanaa yake alikuwa akitiwa moyo sana na Richie na Bishanga kwa Sababu alionekana kama asiye na Elimu kijiwe Chao kikiwa pale kwa Charles Hilal

Kutoka u house boy hadi kuiwakilisha Ikulu usimtafakari kimazoea tu

Nami naufunga mjadala 😀
 
Ukitaka kujua wajinga na werevu JF, soma tu comments kimya kimya...
 
Oktoba 28, 2024 katika msiba wa msaidizi wa Mwamposa, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere alitambulishwa kama mtu anayeongoza protocol Ikulu pale msibani.

Ilikuwa bahati mbaya au ni uhalisia? Bado nawaza!

huezi kujua huenda wana ikulu yao nyingine ya kuzimu haya makanisa ya kiroho yanamengi
 
Stivu Mtu wa Mfumo Mtu kitengo,
Kitengo kabisaa na anafit kwenye vigezo watakavyo sisiem.
 
Hata ulaya nchi za kijamaa ni masikini,akina bulgaria, romania etc
Nyerere angeamua kuuamini ubepari leo hii wengi wetu hata hiki kidogo tulichonacho tungekisikia radioni.

Alileta usawa na akafuta uchifu uliokuwa msingi wa ukabila na dhambi ya kubaguana.
 
Nyerere angeamua kuuamini ubepari leo hii wengi wetu hata hiki kidogo tulichonacho tungekisikia radioni.

Alileta usawa na akafuta uchifu uliokuwa msingi wa ukabila na dhambi ya kubaguana.
Tungekuwa na huo ukabila, huu upumbavu wa sisiemu wa kuwafanya raia dekio, usingekuwepo bila shaka hivi sasa
 
Tungekuwa na huo ukabila, huu upumbavu wa sisiemu wa kuwafanya raia dekio, usingekuwepo bila shaka hivi sasa
Huu upumbavu katika mataifa mengine upo katika hali mbaya zaidi. Aliongoza kwa miaka 23 ya mwanzo, waliomfuatia wabebeshwe lawama kwa mengi mabaya yaliyofuatia.
 
Back
Top Bottom