Inakuwaje tarehe na mwezi wa kuzaliwa na kufa vinafanana?

Inakuwaje tarehe na mwezi wa kuzaliwa na kufa vinafanana?

Hamna aliyejipangia siku ya kuzaliwa Wala kufa. Kama siku yako ya kufa haijatimia hata ukinywa sumu gani Kali, utapona tu
Ni wazi kabisa Wewe unatafuta viboko kwa nguvu, wewe hujawahi ona situation mtu anapona au okoka kifo ambapo katika hali ya kawaida huyo mtu asinge pona, hadi watu wanashangaa huyu mtu kaponaje?
 
Hamna aliyejipangia siku ya kuzaliwa Wala kufa. Kama siku yako ya kufa haijatimia hata ukinywa sumu gani Kali, utapona tu
Kuna msiba nyumba ya jirani...historia ya marehem ndio inasema hivo...marehemu kafa tar 21/11 na alizaliwa tar 21/11. Tofauti ni ya miaka tu
 
Kwani kuna shida gani ikiwa hivyo?

Halafu ni wangapi wanaokufa tarehe zinazofanana na siku ya kuzaliwa?

Mwaka wa kalenda una siku 365 hivyo chances za mtu kufa ni 1/365 sawa sawa na chances za mtu kuzaliwa.
 
Hivi vitu havinaga majibu vyote Mungu anatakaa Tumshangae tu kwa maajabu yake
vipi lile swala la ozil
Jamaa kafa.. siku chache ozil kazaliwa anafanana na marehemu...
 
Back
Top Bottom