Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Sumu toka urusi??Mwanadamu anaweza kukuandalia kifo, muda wa kifo chako, eneo la kifo chako na sababu ya kifo chako.
MWAKYEMBE amenusurika Mara mbili vifo vya kupangiwa na wanadamu.
Cha Kwanza alipangiwa ajali Mafinga, Mungu akamuokoa.
Cha pili alipigwa sumu mujarabu kutoka Urusi.
Kwahiyo sio kila kifo ni cha asili