Inakuwaje tarehe na mwezi wa kuzaliwa na kufa vinafanana?

Inakuwaje tarehe na mwezi wa kuzaliwa na kufa vinafanana?

Mmh sijawahi ona hii
Ipo. Mama yangu mzazi alizaliwa September 25, 1941 na kufariki September 25, 2007.
Alikaa hospital akipata matibabu kwa siku 59. Siku ya birthday day tulimwimbia akiwa kitandani na kumwekea maua na kadi za kumpongeza. Tulipoondoka tu, akafariki. Tukarudi kulia, wakati dakika chache tulifurahi kando yake!
 
Pole mkuu
 
Yaani unazaliwa tareh 1 mwezi wa 3 1999 na unakufa tarehe 1 mwezi wa 3 2000
Siku ya birthday yake kama ni mgonjwa huwa na presha kali kama atapita siku hiyo na ugonjwa wake, matokeo yake anapata mshituko au anadondoka anakufa. Anakufa kwa kimuhemuhe au excitement ya birthdate
 
Tafuta Uzi humu nilishausoma kitambo kidogo aliandika mshana mwenyewe. Alisema haya mambo yapo ki "spritually" kwamba Siku ya kufa na kuzaliwa ipo connected...then akaongelea mambo kibao, hii swala ni real hata kwenye kifo cha Ginimbi Yule mwenzao Moana pia ilikua ni birthday yake..
 
Amefanyaje
Mwanadamu anaweza kukuandalia kifo, muda wa kifo chako, eneo la kifo chako na sababu ya kifo chako.
MWAKYEMBE amenusurika Mara mbili vifo vya kupangiwa na wanadamu.
Cha Kwanza alipangiwa ajali Mafinga, Mungu akamuokoa.
Cha pili alipigwa sumu mujarabu kutoka Urusi.
Kwahiyo sio kila kifo ni cha asili
 
Back
Top Bottom