Inakuwaje tarehe na mwezi wa kuzaliwa na kufa vinafanana?

Sumu toka urusi??
 
Yaani unazaliwa tareh 1 mwezi wa 3 1999 na unakufa tarehe 1 mwezi wa 3 2000
Hii hutokea mungu akiwa na stress za zambi zetu hapa kwa dunia, ko akiwa anapanga ck ya uumbaji wako anasahau na kuiweka kuwa ndiyo ck ya kifo chako😆,
NB. Mungu ni Mungu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…