Inakuwaje timu mbovu ya Arsenal iongoze ligi ya Uingereza hadi sasa? Top team za EPL zinakosea wapi?

Itakuwa ni dharau sana arse8 akibeba ubingwa bora ata manure abebe ..ila dah manyumbu nayo yakikeba yatasumbua sana bora ata Nu Casto abebe tu😭
 
Uhali gani?
 
Umeongea ukweli mkuu asernal nikitimu kidogo sana nailaumu timu yangu United kwanini inaleta utani mpaka haipo pale juu
 
Hebu shika masikio yako mawili kisha yavute huku ukijicheka. Hivi timu inaongoza EPL halafu ni mbovu? Unatumia kilevi gani wewe?
 
Nimeangalia msimamo wa Epl nikakuta timu mbovu ya Arsenal inaongoza ligi kwenye duru ya kwanza kwa tofauti ya point nane. Hii ni aibu aibu
Ikiwa pia maishani unaishi kwa kukariri namna hii unafeli vibaya sana.

Fuatilia soka
 
Arsenal anabahati sana msimu huu kuongoza ligi ila timu hana
Umeongea ukweli mkuu asernal nikitimu kidogo sana nailaumu timu yangu United kwanini inaleta utani mpaka haipo pale juu
 
Sijakariri ila arsenal ina timu ya wavulana itakuwa aibu akichukua ubingwa
Ikiwa pia maishani unaishi kwa kukariri namna hii unafeli vibaya sana.

Fuatilia soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…