Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi.
Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana.
Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi kutafuta teuzi ???
nawe yatengeneze ngoma iwe drooAlitengeneza mazingira ya TEUZI.
Wewe kijana roho mbaya inakusumbua sana, siku ukipona ugonjwa wa roho mbaya milango ya kufanikiwa itafunguka kwenye maisha yako.Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi.
Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana.
Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi kutafuta teuzi ???
Unamwonea. Acha kijana afanye kazi popote. Ila nikubaliane na wewe kitu kimoja -- sekta binafsi iheshimiwe na serikali maana kuna watu hawawezi kuishi nje ya kazi za serikali na siasa.Alitengeneza mazingira ya TEUZI.
Siasa inalipa Mzee! Unatembelea V8, kila kitu bure.
Joshua Nassary alipata Ubunge wa CDM akiwa very immature. UDC utakuwa ndiyo mwisho wa career yake kwa kuwa mazingira atakayokutana nayo huko hayatampeleka popote.Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi.
Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana.
Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi kutafuta teuzi ???
Hivi mayalla kapata?Mayalla maana yake ni NJAA.
Hupendi kuona mtu amepata hupendi kuona mtu amesonga mbele. Unaumia sana.Roho mbaya yangu iko wapi ?
kumbe unalijua? basi mwache kijana akawatumikie watanzania maana anastahili.Huwezi kuteua kila mtu ndani ya nchi ya watu 60M.
Nani anasonga mbele ?Hupendi kuona mtu amepata hupendi kuona mtu amesonga mbele. Unaumia sana.