Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Hivi luhaga mpina inakuaje hadi leo hii hajashughulikiwa?
Yaani vyombo vyote husika vyenye weledi vimeshindwa kumshugulikia kwa kuiabisha mamlaka iliyopo kuu?
Shida ni nini hasa? au bado mchakato inaendelea?
Naomba Mimi mzalendo nipewe kazi hiyo, nipewe rasilimali za kutosha, naahidi nitaikamilisha mapema kabisa kwa mujibu wa kanuni husika
Aksanteni