Inamaana vyombo husika vimeshindwa kumshughulikia Mpina?! Kweli kabisa? Naomba Mimi nipewe kazi hiyo!

Mjinga Mmoja wewe !!.


Hilo bichwa umepewa la kuvukia barabara?.


Watu wajinga Huwa mnatuchukia wenye akili.
 
Kosa la Mpina ni kuwa na akili kuliko wewe na wenzako?
 
Hizi ni moja threads zinazohuzunisha sana! Kweli uchawa, elimu, ujinga bado upo?!
Kazi ipo bado kubwa sana sana sana
 
Mbeya ilitishia kujitenga iwapo Mwakyembe angekufa kipindi amenyonyoka nywele
 
Kumetokea nini jamani...mbona huyo mzalendo ameshushiwa kipigo cha maneno...
Wananzengo wanampiga hasa yaani dah!

Sidhani kama atarudi....

Mpina kapewa kucheza sehemu iliyopaswa kuchezwa na akina Lissu, Lema na Heche bungeni. Kwa vile hawapo, na ili bunge lionekane kuwa angalau lina kaupinzani, Mpina ndiyo kapewa huo uhusika wa kuamsha amsha maana hata wale Covid 19 hakuna kitu.

Huyu mzalendo wetu feki yeye haelewi cho chote anajipunyangia tu. Acha apopolewe!
 
Mzalendo uchwara.

Mtu ukipishana nae mawazo mbadala humshughulikii bali kujibu.
 
Hataki watu wakosolewe...
 
Wewe ndio wakushughulikiwa.
 
Haya maneno yatakuja kukucost siku moja.

ID fake isikufanye ujione uko salama sana.
Luhanga akidhurika kwa namna yoyote leo hata kwa ajali wewe utakuwa Suspect Namba One.
 
Wewe ni mbwaaa Koko
 
Ndiyo upuuzi uliojaza kichwani🤔, badara uwaze uchumi wa nchi utaukuzaje, wewe unalala usingizi wa mang'amung'amu ukimuwaza Mpina😅😅. Achana na Mpina fanya kazi yako, ni aibu PhD kujigeuza chawa😅😅.
 
Watu wengine ni wa kuwapuuza tu wanajimaliza wenyewe kisiasa. Ila kama analoliongea Lina mantiki basi Kuna haja ya kuchukua hatua kama ni porojo basi hata wapiga kura wake watampuuza
 
Ngoja tukishugulikie wewe kwanza uone utamu wake
 
Ila wewe ni mjinga sana
 
I think that it's important to make constructive criticisms of the government as a whole and criticisms of the policies,initiatives and programs..Productive disagreements..

Our maturity will be judged by how well we are able to agree to disagree and yet continue to love one another, to care for one another, and cherish one another and seek the greater good of the other.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…