mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Kama hujarogwa basi tambua wewe ni jinga linaloishi.Wadau hamjamboni nyote?
Hivi luhaga mpina inakuaje hadi leo hii hajashughulikiwa?
Yaani vyombo vyote husika vyenye weledi vimeshindwa kumshugulikia kwa kuiabisha mamlaka iliyopo kuu?
Shida ni nini hasa? au bado mchakato inaendelea?
Naomba Mimi mzalendo nipewe kazi hiyo, nipewe rasilimali za kutosha, naahidi nitaikamilisha mapema kabisa kwa mujibu wa kanuni husika
Aksanteni
Huna hata aibu kujiita 'mzalendo'?Wadau hamjamboni nyote?
Hivi luhaga mpina inakuaje hadi leo hii hajashughulikiwa?
Yaani vyombo vyote husika vyenye weledi vimeshindwa kumshugulikia kwa kuiabisha mamlaka iliyopo kuu?
Shida ni nini hasa? au bado mchakato inaendelea?
Naomba Mimi mzalendo nipewe kazi hiyo, nipewe rasilimali za kutosha, naahidi nitaikamilisha mapema kabisa kwa mujibu wa kanuni husika
Aksanteni
Acha upumbavu wewe juha!Shida ya watu wengi hapa nchini ni kutaka kila mtu awaze na kuishi kama wao,ikatokea mtu yuko tofauti nao wanawita msaliti na kumsagia meno wakitaka kumwangamiza!...hatuwezi kufanana mitazamo na namna tunavyoishi,tuvumiliane na kukubali kusikiliza hata tusivyotaka kusikia!
wew mku..ndu kama unawashwa mimi sifukuag mitaro,fuckoff a$$hole!Acha upumbavu wewe juha!
Wewe kapuku unataka mpina auawe? Kama kawaida ya maccm?Wadau hamjamboni nyote?
Hivi luhaga mpina inakuaje hadi leo hii hajashughulikiwa?
Yaani vyombo vyote husika vyenye weledi vimeshindwa kumshugulikia kwa kuiabisha mamlaka iliyopo kuu?
Shida ni nini hasa? au bado mchakato inaendelea?
Naomba Mimi mzalendo nipewe kazi hiyo, nipewe rasilimali za kutosha, naahidi nitaikamilisha mapema kabisa kwa mujibu wa kanuni husika
Aksanteni
Wanaweza kumkata akagombea chama kingine na akarudi bungeni kuwachachafya zaidi.
unavyokomenti sasa kama vile umekomenti kitu cha maana kutoka kwa mtu makini kumbe ni limbukeni tu aliyejifanya mwanasaikolojia kipindi fulani miaka ileeWananzengo wanampiga hasa yaani dah!
Sidhani kama atarudi....
Mpina kapewa kucheza sehemu iliyopaswa kuchezwa na akina Lissu, Lema na Heche bungeni. Kwa vile hawapo, na ili bunge lionekane kuwa angalau lina kaupinzani, Mpina ndiyo kapewa huo uhusika wa kuamsha amsha maana hata wale Covid 19 hakuna kitu.
Huyu mzalendo wetu feki yeye haelewi cho chote anajipunyangia tu. Acha apopolewe!
TumainiEl alisemaga hivi hivi kwa Beni Sanane, sote ni mashuhuda hadi leo haijulikani alipo Saanane. Hii post siyo ya kupuuza hata kidogo.Wadau hamjamboni nyote?