Wonderland Management
Senior Member
- May 28, 2014
- 132
- 94
- Thread starter
- #21
Sijuhi umekalia nini hadi upate muhemko kiasi cha kushindwa kuandika ukaeleweka...!!
Anyway; ccm wana maneno mazuri kwenye majukwaa... Kiutendaji wanatenda tofauti.... Wanaongea hiki wanatenda kile ambacho hawakukisema lakini wanakiamini 100%!
Tatizo NI sisi wenyewe Wananchi. Akili zetu tume zilaza na kuziaminisha kuwa kila kitu kita letwa na wanasiasa which is not. Development starts in side you then to your family then your neighborhood then Regionally then Nchi nzima. Kila mtu ana wajibu wakuleta na kuulizwa wapi tume teleza. Leo hii ukisemea umasikini lazima tuji ulize Mimi Na wewe wapi tume teleza Na wapi Na kipi tufanye tuji kwamue. Tuki pata majibu tuka yafanyia Kazi hakika Nchi ita endelea. Nguvu Kazi NI sisi. Mfano mzuri China waChina wote wame jitoa KWA ajili ya China. Na sasa USA. Sisi tuna anza kutafuta mchawi serikalini wakati mchawi yuko Ndani. Kama mwanao mvivu hataki kujishughulisha Na wewe una mchekea wewe pia NI kikwazo cha Maendeleo maana una Lea umasikini.