Inaonekana hata CCM kuna moto unawaka chini kwa chini na Ushahidi ni karipio la hadharani la RC Makonda kwa Mbunge Gambo

Inaonekana hata CCM kuna moto unawaka chini kwa chini na Ushahidi ni karipio la hadharani la RC Makonda kwa Mbunge Gambo

Hahaha Simba wa bahari, yule anae tangazwa Sana pale kwenye biashara ya Wana ukwaju.

Hahaha hii code kiboko, Sema dauda yuko vizuri pia
Afanaleki! 😂🙌🏾

Kwa simba wa bahari asingefua dafu…, angechapika vibaya mno! Kale kakijana ni machachari hakuna mfano!

Familia yao nzima mstaarabu ni yule kaka yao wa kule Salamanda tower tu
 
Umeona clip ya upande wa makonda tu,je umeona clip ya upande wa Gambo akimchongea Makonda kwa Waziri ?

Yaani wewe umehitimisha kwa upande mmoja tu ,

Gambo ana hofu na kasi ya makonda ataichukua Arusha ,ndio maana ameanza figisu kumchafua makonda ,

Makonda nae hajataka kusubili kamchana hadharani
Wakiwa ma- RC, Makonda alikuwa ni role model wa hao kina Gambo, Ally Happi na 'Jenerali' Sabaya na Chalamila kwa mbaali. Hivyo Makonda anawajua vyema hao 'madogo' zake. Ni kama alikuwa anawaambia nini cha kufanya na namna gani ya kufanya na ikitokea wanataka kuwajibishwa anawaambia cha kufanya pia ili wasiwajibishwe (mfano, kugomea wito za Waziri).

Zama za JPM hao ndio walikua ma-RC untouchable, wanaripoti moja kwa moja kwa Jiwe.
 
Mtu mwenye tabia ile katika maongezi ana tabia ya utemi na utovu wa nidhamu kwa wenzake. Tabia ya umwinyi na kujiona yuko juu katika vyote dhidi ya wengine.
Mako mzinguaji halafu ana tabia ya kupenda kuongea akiwashika shika wenzake mabega na hiyo huwa ni ishara ya kwamba mimi ni braza wewe ni dogo.
Ona alivyokuwa namshika mabega waziri.
 
Mtu mwenye tabia ile katika maongezi ana tabia ya utemi na utovu wa nidhamu kwa wenzake. Tabia ya umwinyi na kujiona yuko juu katika vyote dhidi ya wengine.
Kabisa na ni tabia yake na anaifanya kwa makusudi kabisa. Kama ni tabia njema yeye binafsi hawezi kutulia afanyiwe vile.
 
Ewaaaaa!!!! Hapo umebashiri kikamilifu 😂👊🏾👍🏾🙌🏾

Sasa yule sio mabaiskeli tu, majoda, makombat, ma-kungfu, makarate, maboxer na mauhuni yote yamelala pale. Na hapa ipo!
Hahaha namjua kiasi chake, ila pia Kuna verse ya mwana falsafa Ina sema "tajiri mtata Kama ...

Yule Jamaa ni chizi kweli, kwa level waliyo alikuwa ana weza kupasuana na kisinge tokea kitu.
Si una jua mk ali wakimbiza kipindi Cha uenyekiti wa mkoa
 
Kabisa na ni tabia yake na anaifanya kwa makusudi kabisa. Kama ni tabia njema yeye binafsi hawezi kutulia afanyiwe vile.
Siku atakutana na mwehu atazabuliwa mpaka itakuwa headline nchini. Anatamba sana sijui kwa sababu inasemekana na yeye ni wale wa geti jeusi 🤔🤔🤔
 
Hahaha namjua kiasi chake, ila pia Kuna verse ya mwana falsafa Ina sema "tajiri mtata Kama ...

Yule Jamaa ni chizi kweli, kwa level waliyo alikuwa ana weza kupasuana na kisinge tokea kitu.
Si una jua mk ali wakimbiza kipindi Cha uenyekiti wa mkoa
Mbona alimchana live kwamba

“Wewe kinachokubeba ni mamlaka, ila sisi hatukuogopi na hatuwezi kukuogopa kama kipindi kile, wewe ni mtoto mdogo sana! Katika kila kitu kwangu na famili yetu kwa ujumla. Nitakudhalilisha bure iwe matatizo na chanzo cha kuporomoka kwetu rasmi”

Ilikuwa masaki, watu shazi sema wengi walikuwa washua na watu weupe. Ni maeneo fulani hivi wanachomachoma vitoweo
 
..na siku Makonda akitia nia ubunge wa Arusha mjini,anaweza kuwaacha watu wengi midomo wazi,kwa uungwaji mkono.
Arusha ya leo ndio Arusha ninayoijua mimi kabla ya mafigisu ya serikali fulani zilizopitaga..
Mji huu ni wa kutafuta hela asubuhi hadi saa tisa then jioni tunafanya vikao sehemu mbalimbali na kugawana kilicho chetu..
RC amesoma mchezo,anapiga muziki wetu..Gambo amvizie pengine lasivyo atamalizwa kisiasa na hataamini.
Gambo ana hofu sana makonda atatia Nia kugombea Ubunge

Na makonda akiwa mbunge Arusha ,Arusha itapaa sana
 
Mbona alimchana live kwamba

“Wewe kinachokubeba ni mamlaka, ila sisi hatukuogopi na hatuwezi kukuogopa kama kipindi kile, wewe ni mtoto mdogo sana! Katika kila kitu kwangu na famili yetu kwa ujumla. Nitakudhalilisha bure iwe matatizo na chanzo cha kuporomoka kwetu rasmi”

Ilikuwa masaki, watu shazi sema wengi walikuwa washua na watu weupe. Ni maeneo fulani hivi wanachomachoma vitoweo
Yap nili jua tu, una jua kitu una weza kijenga kwa muda mrefu halafu uka haribu kwa sekunde 1 tu .

halafu wale Wana guard ya mzee wa tabasamu, sidhani Kama ange ruhusu dogo aende ndumo.

Halafu mk naye mshamba mshamba, hivi power ya madaraka ya muda ndo iku fanye ugombane na kila mtu .
 
Wakiwa ma- RC, Makonda alikuwa ni role model wa hao kina Gambo, Ally Happi na 'Jenerali' Sabaya na Chalamila kwa mbaali. Hivyo Makonda anawajua vyema hao 'madogo' zake. Ni kama alikuwa anawaambia nini cha kufanya na namna gani ya kufanya na ikitokea wanataka kuwajibishwa anawaambia cha kufanya pia ili wasiwajibishwe (mfano, kugomea wito za Waziri).

Zama za JPM hao ndio walikua ma-RC untouchable, wanaripoti moja kwa moja kwa Jiwe.
Wewe siasa za nchi hii unazielewa vizuri sana.
 
Utofauti ni kwamba kwenye CCM kuna dola na dola ni nidhamu.
Kwa mfano Gambo alitakiwa akae kwa adabu (kutulia) kama alivyofanya baada ya kupigwa zile spana, angejaribu tu kunyenyua mdomo basi angeswekwa ndani siku tatu ama zaidi bila dhamana kwa amri ya Mkuu wa Mkoa.

Sasa kwenye vyama vyetu hivi vya siasa we ropoka lolote hakuna wa kukuzuia, tena unaweza kuropoka bila hata ushahidi kufurahisha wana umati wakuone wewe ndiyo staa.
Vyama vya Nondo 😂😂
 
Binafsi sikuona sababu ya RC kuwaka hadharani Kwa sababu Gambo ni Mwanasiasa na alichofanya ni Propaganda ya kawaida kabisa Kufanya Wananchi wajue CCM inawajali

Kuhudhuria Vikao ama la hilo ni swala la kiutawala na Lina kanuni zake za kinidhamu siyo tu kurushana roho hadharani

Nahisi kuna moto unawaka Chini Kwa chini CCM kama ulivyoanza Huu wa Chadema miaka Miwili iliyopita na sasa Umekolea

Ni tahadhari tu 🐼
DAB anautaka Ubunge Mkoa wa Arusha na Gambo hilo ameshalijua mapema kabisa tulitegemea ataenda tena Kigamboni kule kwa Ndugulile ila wapi anautaka Mkoa wa Arusha, DAB matamanio yake ya juu ni kuingia Bungeni aende akapate trends na kule ila wenye akili km J hua wanamkata kabla hajafika popote kula za maoni tu kaliwa kichwa lakini huyu mama atatimiza matamanio ya DAB, DAB tamanio lake la juu ni kuingia Bungeni na hilo Gambo analijua
 
Na akiingia bungeni anateuliwa kuwa Waziri Mkuu
 
Back
Top Bottom