Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Afanaleki! 😂🙌🏾Hahaha Simba wa bahari, yule anae tangazwa Sana pale kwenye biashara ya Wana ukwaju.
Hahaha hii code kiboko, Sema dauda yuko vizuri pia
Kwa simba wa bahari asingefua dafu…, angechapika vibaya mno! Kale kakijana ni machachari hakuna mfano!
Familia yao nzima mstaarabu ni yule kaka yao wa kule Salamanda tower tu