Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa muda miezi kadhaa sasa mfufulizo nimeona nyuzi nyingi sana zinazoonekana ni za vijana wadogo wakitaka kupata uzoefu mbalimbali kuhusu mapenzi, mahusian au ndoa, wakiulizia watu sahihi wa kuoana au malalamiko mbalimbali ya mahusaina, mapenzi na ndoa yanayoonekana ni kutoka kwa vijana wenye umri mdogo ambao ndio wanaanza maisha tu.
Kwa hali hii serikali inapaswa kujua mapema kitakachofuatia baada ya miaka mitano ijayo katika sekta ya elimu na afya, isije kukurupuka na zimamoto za wakunga, vituo vya afya, madarasa na madawati katika kipindi hicho.