Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 775
- 1,712
Nioneshe unapo dai nmesema wanataka mtu ambae tayari anajina acha maneno mengi.Acha propaganda wewe, huna mbele Wala nyuma ukaingizwe kwenye devils acha basi kudanganya? Vijana wapo wengi kitaa wanataka hiyo nafasi wanaishiwa kuliwa hela tu
Kaka mi ni msela miaka nenda Rudi in short hiki kichwa hakuna wakukigusa hata pdidy aje na crew yake tamgeuza yeeeAhaa haa subiria uone unavyoanza kuvaa visketi na kunengua viuno mara kulamba lamba lipsi 🤣🤣.
Fact si wote lakinNdio hicho tunachosema wengi wanachagua hayo maisha ya ufahari wanatoa mgongo wao 🤣😂.
Sasa kama huna jina watakuaminije?Nioneshe unapo dai nmesema wanataka mtu ambae tayari anajina acha maneno mengi.
Quote hiyo sehemu.
Mzee wa namwai upo?Donati Dotinata
Hujatueleza ulipofika...Mkuu hapa nilipo fika mbona nipakubwa tu
Nafahamika na watuHujatueleza ulipofika...
Kaka mi ni msela miaka nenda Rudi in short hiki kichwa hakuna wakukigusa hata pdidy aje na crew yake tamgeuza yeee
Usiwazee Niko napambania studio yangu mana naanza na lebo yangu Moja kwa Moja ili kukwepa vishawishiSawa chalii endelea kukaza basi
Nafahamika na watu
Tarehe Moja mwezi wa kumi tatsmbulisha jina na lebo yangu stay tunedJina lako la usanii nani ?
Hongera iko wapi hiyo studio yako mzee.Usiwazee Niko napambania studio yangu mana naanza na lebo yangu Moja kwa Moja ili kukwepa vishawishi
Sawa sawa..tunasubiria.Tarehe Moja mwezi wa kumi tatsmbulisha jina na lebo yangu stay tuned
ZenjiHongera iko wapi hiyo studio yako mzee.
Hollywood kuna upande wake wa giza ushindani mkali, unyonyaji na wakati mwingine watu kudhulumiwa
Kila msanii anaweza kuwa na story yake nje ya kamera ambayo hataki dunia ijue. Ndiyo maana baadhi yao huishia kwenye uraibu wa pombe au dawa za kulevya kama njia ya kukabiliana na presha na maumivu yao
Wanawake hutumiwa au kunyanyaswa kingono ili kupata nafasi na umaarufu
Wanaume nao wakikumbana na unyonyaji na kupumuliwa visogoni
Nyuma ya pazia la music na filamu industry kuna maisha ambayo watazamaji wengi hawayaoni
Itapendeza sana mana nataka mwezi wa kumi mwakaninnifanye tour yangu kuzunguka walau mikoa mitano tuSawa sawa..tunasubiria.
Zenji