Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana

Alafu wanajaribu kuonesha kuwa ni watu wenye furaha na mafanikio sana

Ndio maana V money, Vanessa Mdee alitoka hadharani akasema akiwa kwenye mziki alikuwa anapitia sonona kali na alishukuru Mungu kuuacha mziki.
Ile ni facade , ni marketing stunts tu ka ajili ya kazi yao but in reality they are living in hell. Ni watu wachache wanao elewa hilo
 
Sure they are not happy. Wanabaki kutumia madawa kujiliwaza.
 
Alafu wanajaribu kuonesha kuwa ni watu wenye furaha na mafanikio sana

Ndio maana V money, Vanessa Mdee alitoka hadharani akasema akiwa kwenye mziki alikuwa anapitia sonona kali na alishukuru Mungu kuuacha mziki.
Kwahiyo madee ameacha mziki sio juzi tumeandaa ngoma Kali
 
Inasiktisha sana ,muziki ndani yake una ushetani.

#YBWYB - Mamba24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…