Kwa Tume ipi?Kama unaifahamu psychology kama mimi basi utaungaba na mimi kwamba Tundu Lissu anamtesa sana Dr Samia.
Huku mmoja akiwa ni Rais na amwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na mwingine akiwa ni Mgombea Mtarajiwa na Makamu Mwenyekiti Chama cha Demokrasia na maendeleo.
Mwaka 2015 hadi 2020 wakati wa Dr Magufuli (R.I.P) akiwa Rais alimaliza kipindi chake huku hajawahi kulitaja Jina la Tundu Lissu wazi wazi kutokana na jinsi Simba alivyokuwa anaogopwa na mtawala huyo.
Alikuwa anaweza kumtaja kwa kutumia pronowns au Adverb lakini sio kumsema kwama yule Mwanasheria Nguli Tundu Lissu.
Hii ilikuwa ni aina nyingine ya mateso na mahangaiko kisaikolojia.
Soma Pia:
Utani kati ya Tundu Lissu (Simba) na Dr. Samia si wa leo kwani wamefanya kazi moja katika ofisi moja kwenye shirika la kimataifa linalishughulika na Ulinzi wa Mazingira na hali ya hewa duniani. Hivyo hakuna wa kushangaa wakitupiana vimaneno vya utani.
Imekuwa kawaida sasa kila alipo Dr Samia katika shughuli zake lazima amtaje Tundu Lissu. Ni aina ya hofu na wasi wasi.
Mh. Tundu Lissu kaza kamba endelea na nia yako ya kugombea Urais huu ni Mwaka wa Kuforce utatoboa tu.
Au kumeshapatikana tume ya ukweli?