Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Yapi? Yale ya Nape?Labda angekua anagombea kupitia CCM ila kama ni mgombea wa Chadema yatakua yaleyale tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapi? Yale ya Nape?Labda angekua anagombea kupitia CCM ila kama ni mgombea wa Chadema yatakua yaleyale tu
Ni kwel wananchi wanamjua vizuri sana haswa kwenye habari ya tozo ,sakata la ngorongoro, na bandari .Lisu anajulikana mitandao tu, wananchi wa kawaida uko vijijini nani anamjua unaonekana utembei wewe
Yeah tutaona nani Simbakama ni fair game hapo utaona nani bingwa!
Hahah....huyo jamaa sijui anaonge vitu gani.Ni kwel wananchi wanamjua vizuri sana haswa kwenye habari ya tozo ,sakata la ngorongoro, na bandari .
Mungu akawe upande wa Haki, Amani na maendeleo kwa Taifa hili.Hivi mnajua kwamba Mwakani 2025 Mgombea wa CCM atakuwa ni Samia Suluhu Hassan wakati Mgombea mwenza wake atakuwa Tundu A. Lissu
Jiandaeni Kwa hiyo Surprise labda Tundu akatae, ila Wazee wameshatumwa kuanza kumshawishi
Lisu anajulikana kwa makali yake ya tozo kwa wapiga kura huko vijijini ndani ndani.Hahah....huyo jamaa sijui anaonge vitu gani.
Sawa Shabiki wa LiverpoolLabda angekua anagombea kupitia CCM ila kama ni mgombea wa Chadema yatakua yaleyale tu
Kama ataridhia hiyo Proposal, tujiandae kumuona Lissu akiwa Makamu wa Rais Mwakani.Mungu akawe upande wa Haki, Amani na maendeleo kwa Taifa hili.
Mungu atende miujiza kweli.Kama ataridhia hiyo Proposal, tujiandae kumuona Lissu akiwa Makamu wa Rais Mwakani.
Na iwe hivyoMungu atende miujiza kweli.
Sawa sawaNa iwe hivyo
Ngoja tuone karata zinavyochangwa
ni kipi CCM walichokosa mpka wamshawishi Tundu lisu kuwa mgombea mwenza.Hivi mnajua kwamba Mwakani 2025 Mgombea wa CCM atakuwa ni Samia Suluhu Hassan wakati Mgombea mwenza wake atakuwa Tundu A. Lissu
Jiandaeni Kwa hiyo Surprise labda Tundu akatae, ila Wazee wameshatumwa kuanza kumshawishi
Tofautisha kati ya time na Nyakati.ni kipi CCM walichokosa mpka wamshawishi Tundu lisu kuwa mgombea mwenza.
Hilo jambo haliwezekani.
Yupo moyoni mwake ndio maana mdomoni mwake hatokiKama unaifahamu psychology kama mimi basi utaungaba na mimi kwamba Tundu Lissu anamtesa sana Dr Samia.
Huku mmoja akiwa ni Rais na amwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na mwingine akiwa ni Mgombea Mtarajiwa na Makamu Mwenyekiti Chama cha Demokrasia na maendeleo.
Mwaka 2015 hadi 2020 wakati wa Dr Magufuli (R.I.P) akiwa Rais alimaliza kipindi chake huku hajawahi kulitaja Jina la Tundu Lissu wazi wazi kutokana na jinsi Simba alivyokuwa anaogopwa na mtawala huyo.
Alikuwa anaweza kumtaja kwa kutumia pronowns au Adverb lakini sio kumsema kwama yule Mwanasheria Nguli Tundu Lissu.
Hii ilikuwa ni aina nyingine ya mateso na mahangaiko kisaikolojia.
Soma Pia:
Utani kati ya Tundu Lissu (Simba) na Dr. Samia si wa leo kwani wamefanya kazi moja katika ofisi moja kwenye shirika la kimataifa linalishughulika na Ulinzi wa Mazingira na hali ya hewa duniani. Hivyo hakuna wa kushangaa wakitupiana vimaneno vya utani.
Imekuwa kawaida sasa kila alipo Dr Samia katika shughuli zake lazima amtaje Tundu Lissu. Ni aina ya hofu na wasi wasi.
Mh. Tundu Lissu kaza kamba endelea na nia yako ya kugombea Urais huu ni Mwaka wa Kuforce utatoboa tu.

Kila kitu kina sababu, mimi natka nijue sababu zipi zitapelekea CCM kumshawishi TL ahamie CCM na kuteuliwa kuwa mgombe mwenza.Tofautisha kati ya time na Nyakati.
Kumbe ni watani sasa hiyo iitwayo hofu iko wapi ?!! [emoji44][emoji1787]Kama unaifahamu psychology kama mimi basi utaungaba na mimi kwamba Tundu Lissu anamtesa sana Dr Samia.