Pre GE2025 Inaonekana Uamuzi wa Tundu Lissu kugombea tena unamuumiza kichwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa Tume ipi?
Au kumeshapatikana tume ya ukweli?
 
Inaonekana mbowe amekompromize je atakubali tissue awe mgombea uraisi??
 
Kwa siasa za Tanzania wagombea wa upinzani ambao walikuwa tishio kwa chama tawala ni Lowassa na Lyatonga Mrema.Lissu ni mwanasiasa tishio ila sio katika level ya kugombea urais.Mama kumtajataja sio lazima kwa sababu ya kumuogopa,inawezekana anamkubali sana pia,inawezekana pia anataka kumvuta or ni marafiki kumbuka siasa ni uadui kwa wafuasi wa chini na sio viongozi.
 
Mama alimtuma Abdul na fuko la hela
 
Huu ni mwaka wa kufosi na Mh Lissu analielewa hilo,nikikaa nikiunga dot na ule utabiri wa sheikh Hussein 🤔
 
Lisu anajulikana mitandao tu, wananchi wa kawaida uko vijijini nani anamjua unaonekana utembei wewe
Muulize huyo Samia na CCM wenzako, wali block hadi teitter isipstikane huko, walijaribu kuzuia kuanzia kutangaza taarifa za Tundu Lissu wakati wa Kampeni, hadi wasibandike hata mabango ya kumtangaza Tundu Lissu lakini mikutano yake japo ilitangazwa kwa watu kupeana taarifa kwa kuambiana kwa simu na messages, bado mikutani yote ilijaa kuliko mkutano wowote ule wa CCM ambayo washiriki walilipiwa kila kitu na sehemu nyingi mikitano ilipikuwa ikifanyika audience ilikuwa ni ileile.

Habari eti za vijijini hawamjui hizo ni habari za miaka ya 90 huko na pia ni kuwadharau watanzania. Pia ni kukiri kwamba serikali haijafanya chochote katika kuiunganisha nchi na wanamchi ndiyo maana kuna wananchi wapo gizani hawafahamu lolote kuhusu yanayoendelea nchini.
 
Hivi mnajua kwamba Mwakani 2025 Mgombea wa CCM atakuwa ni Samia Suluhu Hassan wakati Mgombea mwenza wake atakuwa Tundu A. Lissu

Jiandaeni Kwa hiyo Surprise labda Tundu akatae, ila Wazee wameshatumwa kuanza kumshawishi
Mhhhh!
Kama ataridhia hiyo Proposal, tujiandae kumuona Lissu akiwa Makamu wa Rais Mwakani.
Kwa maono yako,wewe unasemaje kwenye hili kwa mfano ungekua mshauri wa Lissu?tunaomba maoni yako tafadhali
Kama ataridhia hiyo Proposal, tujiandae kumuona Lissu akiwa Makamu wa Rais Mwakani.
 
Lisu anajulikana mitandao tu, wananchi wa kawaida uko vijijini nani anamjua unaonekana utembei wewe
Mwenye makasiliko,ndo anaeona Samia ana ubavu.ukizaka kimtaka ambatanisha na vyombo vya Dola.

Picha Kila Kona machawa,mazwazwa yamejazana cvm
 
Lazima aumie kichwa sababu anafahamu WATANGANYIKA watapiga kura KITANGANYIKA.

Ni wapinzani wajipange ikiwezekana wawe na mgombea mmoja.
 
Kiongozi dhaifu wa chama tawala angetamani ipitishwe fomu Moja pekee na asiwepo Mpinzani yeyote ndani na nje ya chama wa kugombea nafasi ya juu kuliko zote,

Lakini Hilo pia halitawezekana.
Duuh basi ana hali ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…