Pre GE2025 Inaonekana Uamuzi wa Tundu Lissu kugombea tena unamuumiza kichwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hatari sana
 
Tundu Lisu Hana ubavu wa kupambana na samia
Wenzio huko wako wanasumbuliwa na "Tundulissuphobia syndromes", hawalali wakihemea juu kwa juu, halafu wewe unajitia hamnazo, na vijimsemo rojorojo kama huu......

Mwisho atatoka kumwa - address TL a.k.a "simba dume" kama "mwanangu" hadi kuwa mwacheni "mume wangu"

Kote huko ni kwa sababu ya THE FEAR OF UNKNOWN" na usishangae waka opt kurudi kumvizia jamaa kwa BUNDUKI tena kama alivyofanyiwa na Magufuli 2017 na akashindwa vibaya....

"Simba dume a.k.a Simba wa Yuda" - Tundu Lissu huwa hafi kwa njia hizo. Huyu unaweza kumuua kwa hoja. Huyu Samia wenu ana hoja Sasa au amejaa vituko na mikasa tu.......?
 
ukiacha simba na yanga,kanisa katoliki kwa wafuasi wengi ccm inafata,chama cheni icho ni cha mitandaoni na vijiweni tu
Mtazamo wako unatokana na takwimu sahihi au hisia zako tu?.
 
Kama ni Fair game , Samia hana ubavu. Hata JPM hakuwa na ubavu. Tambua kitu kimoja, tukiweka electronic voting kama ile ya USA, saa nne asubuhi siku ya uchaguzi Rais Tundu anatangazwa.

Hakuna rational mind anaeipigia kura CCM. Lowasa tu alishinda uchaguzi pamoja na Kampeni zake za mchongo tena akipambana na Simba JPM , ndio umpambanishe samia na Tundu Antipas Lisu . Ni matusi makubwa Tundu kulinganishwa na Samia , Tundu lieu ni very smart guy , honesty and msomi mzuri asiyekuwa na elimu ya kuunga, he is ahead of his time

Akili ndogo sana kuamini Samia anaweza kumshinda lisu. Atashinda kwa wizi kama alivyoshinda Jpm kwa wizi chini ya Edo
 
kuna uchaguzi wenu mlishindwa hata kuwanunulia chai wasimamizi wenu wanashinda na njaa tuu

..kitakachomkwamisha Lissu ni FEDHA za kufanya kampeni na kuweka mawakala nchi nzima.

..lakini tunapoangazia mgombea yupi ana kipaji, ushawishi, uchungu na shida za Watanzania, na anaielewa Tanzania, na dunia, Lissu amemzidi kwa mbali Samia Suluhu.
 
changamoto ya chama chake mfano uku kwetu kila uchaguzi kuna sehemu hata wasimamizi wa uchaguzi hawana

..kwenye nchi zilizoendelea uchaguzi unaaminika kiasi kwamba hakuna haya wagombea kuweka mawakala, wala uwepo wa maaskari ktk vituo vya kupigia kura.

..Watanzania inabidi tujiulize mawakala wa vyama ni wa kazi gani? Kwanini uchaguzi unakuwa ni zoezi la kutokuaminiana? Vipi tukiwa na wagombea binafsi na wenyewe tutawataka waweke mawakala kila kituo?
 
kwa taarifa yako tundublisdi atahamia ccm mwaka 2025
 
Leo chawa wote wa Samia wameamkia kuanzisha tungo za kumchafua Tundu Lissu, wanamgwaya vibaya mno.
 
Hata Somalilanda hawaweki mawakala na hakuna Polisi......msimamiza kazi yake anapeleka makaratasi na maboksi jioni anakuja kuyakusanya tu.
 
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…