gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kwa mwenendo wa mpira wetu, ligi kuu, namna waamuzi wanavyofanya maamuzi na mambo mengine nyuma ya pazia, siku si nyingi ligi itapoteza credibility
Pamba jiji Wana mchezaji moddou Camara, ni mlinzi, kaambiwa ni majeruhi hatocheza mechi dhidi ya simba ilhali si majeruhi
Mambo meusi kama kughairisha derby bila sababu za msingi ilhali watu wametoka mikoani na nje ya nchi kuja kutazama, ni kuua ukuaji wa mpira wa Tanzania, wale watu hawatoenda tena Dar toka mikoani na nje ya nchi, sababu hawatokua na uhakika ikiwa mechi itachezwa au laa
Kwa halo ilivyo haya hayatobadilika mpaka mtu au watu waumizwe Ili wengine wahofie kufanya upuuzi kwenye mpira.
Huko ulaya siku za nyuma watu hawakuwa waaminifu, walitanguliza dhulma kwenye mambo mablimbali waliyokubaliana, mpaka risasi zilipoanza kupenya minofu ya watu ndiyo ukazaliwa uaminifu ulaya.