Inapasa mtu( watu) kuumia Ili kuokoa mpira wetu

Wana golikipa mwenye viwango vya kuchezea timu ya Taifa Yona Amos! Ameachwa nje, na akaanzishwa yule golikipa pazia ambaye mipira inapigwa golini kwake, anasimama tu! Na magoli yanaingia!

Mwamuzi naye mchezaji wa simba akiguswa kidogo tu, anapiga filimbi ya faulo na pia akatoa penati nyepesi kabisa!

Na haya yote yangefanyika kwenye mechi dhidi ya Yanga, aisee GSM angekoma!
Pamba si tawi lenu. Ama leo hata Minziro haaminika tena kuwa ni utopolo. Kazi mnayo.
 
Vipi kama viongozi wa hiyo timu na ambao wanahusishwa kuwa ni mashabiki wa timu ya Mbereko Fc wakamshinikiza huyo Minziro wa watu kupanga timu dhaifu! Unategemea atakataa ili afe njaa?
 
Kwa mwenendo wa mpira wetu, ligi kuu, namna waamuzi wanavyofanya maamuzi na mambo mengine nyuma ya pazia, siku si nyingi ligi itapoteza credibility

Pamba jiji Wana mchezaji moddou Camara, ni mlinzi, kaambiwa ni majeruhi hatocheza mechi dhidi ya simba ilhali si majeruhi

Mambo meusi kama kughairisha derby bila sababu za msingi ilhali watu wametoka mikoani na nje ya nchi kuja kutazama, ni kuua ukuaji wa mpira wa Tanzania, wale watu hawatoenda tena Dar toka mikoani na nje ya nchi, sababu hawatokua na uhakika ikiwa mechi itachezwa au laa

Kwa halo ilivyo haya hayatobadilika mpaka mtu au watu waumizwe Ili wengine wahofie kufanya upuuzi kwenye mpira.

Huko ulaya siku za nyuma watu hawakuwa waaminifu, walitanguliza dhulma kwenye mambo mablimbali waliyokubaliana, mpaka risasi zilipoanza kupenya minofu ya watu ndiyo ukazaliwa uaminifu ulaya.
Kuna hili kuna lingine mkuu singida walipumzisha wachezaji 8 bila sababu za msingi.
 
Wana golikipa mwenye viwango vya kuchezea timu ya Taifa Yona Amos! Ameachwa nje, na akaanzishwa yule golikipa pazia ambaye mipira inapigwa golini kwake, anasimama tu! Na magoli yanaingia!

Mwamuzi naye mchezaji wa simba akiguswa kidogo tu, anapiga filimbi ya faulo na pia akatoa penati nyepesi kabisa!

Na haya yote yangefanyika kwenye mechi dhidi ya Yanga, aisee GSM angekoma!
Samaleko mkuu tunalipa ya fountain gates na singida mkuu.
 
Kwa mwenendo wa mpira wetu, ligi kuu, namna waamuzi wanavyofanya maamuzi na mambo mengine nyuma ya pazia, siku si nyingi ligi itapoteza credibility

Pamba jiji Wana mchezaji moddou Camara, ni mlinzi, kaambiwa ni majeruhi hatocheza mechi dhidi ya simba ilhali si majeruhi

Mambo meusi kama kughairisha derby bila sababu za msingi ilhali watu wametoka mikoani na nje ya nchi kuja kutazama, ni kuua ukuaji wa mpira wa Tanzania, wale watu hawatoenda tena Dar toka mikoani na nje ya nchi, sababu hawatokua na uhakika ikiwa mechi itachezwa au laa

Kwa halo ilivyo haya hayatobadilika mpaka mtu au watu waumizwe Ili wengine wahofie kufanya upuuzi kwenye mpira.

Huko ulaya siku za nyuma watu hawakuwa waaminifu, walitanguliza dhulma kwenye mambo mablimbali waliyokubaliana, mpaka risasi zilipoanza kupenya minofu ya watu ndiyo ukazaliwa uaminifu ulaya.
TIMU INA VIPORO VINNE HALAFU UKIAMBIWA KUNA MECHI FIXINGI UNATAKA USHAHIDI? USHAHIDI GANI UNATAKA HAPO?
HUWEZI KUEPUKA UPANGAJI WA MATOKEO KWENYE IPORO
NI SAWA NA KUSEMA MWANAFUNZI AFANYE MTIHANI ULEULE WENZAKE WALIOFANYA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA NANI ATAFELI?
HUYU MSOMALI KAHARIBU MPIRA WETU
 
Kuna mtu bado anabisha kuhusu kuumiza watu Ili mpira wetu upone?
 
Back
Top Bottom