gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Halafu za kijingaKwani vipi penati bado zinaunguruma??
Daah..Halafu za kijinga
Mchezaji kaambiwa yeye majeruhi hatocheza mechi dhidi ya simba ilhali yeye si majeruhiDaah..
Wana golikipa mwenye viwango vya kuchezea timu ya Taifa Yona Amos! Ameachwa nje, na akaanzishwa yule golikipa pazia ambaye mipira inapigwa golini kwake, anasimama tu! Na magoli yanaingia!Kwa mwenendo wa mpira wetu, ligi kuu, namna waamuzi wanavyofanya maamuzi na mambo mengine nyuma ya pazia, siku si nyingi ligi itapoteza credibility
Pamba jiji Wana mchezaji moddou Camara, ni mlinzi, kaambiwa ni majeruhi hatocheza mechi dhidi ya simba ilhali si majeruhi
Mambo meusi kama kughairisha derby bila sababu za msingi ilhali watu wametoka mikoani na nje ya nchi kuja kutazama, ni kuua ukuaji wa mpira wa Tanzania, wale watu hawatoenda tena Dar toka mikoani na nje ya nchi, sababu hawatokua na uhakika ikiwa mechi itachezwa au laa
Kwa halo ilivyo haya hayatobadilika mpaka mtu au watu waumizwe Ili wengine wahofie kufanya upuuzi kwenye mpira.
Huko ulaya siku za nyuma watu hawakuwa waaminifu, walitanguliza dhulma kwenye mambo mablimbali waliyokubaliana, mpaka risasi zilipoanza kupenya minofu ya watu ndiyo ukazaliwa uaminifu ulaya.
Beki moddou Camara kaambiwa yeye ni majeruhi hivyo hatocheza,kaachwa mwanza, wakati mchezaji si majeruhiWana golikipa mwenye viwango vya kuchezea timu ya Taifa Yona Amos! Ameachwa nje, na akaanzishwa yule golikipa pazia ambaye mipira inapigwa golini kwake, anasimama tu! Na magoli yanaingia!
Mwamuzi naye mchezaji wa simba akiguswa kidogo tu, anapiga filimbi ya faulo na pia akatoa penati nyepesi kabisa!
Na haya yote yangefanyika kwenye mechi dhidi ya Yanga, aisee GSM angekoma!
Ndiyo maana simba hutembea na marefa wao na lazima penalty na kadi nyekunduKila mechi ya Simba GSM anaweka si chini ya mil 80 kwa timu wanazocheza nayo Simba na anagonga mwamba
Unawezakuwa sahihi, kuna dalili zote huu uharibifu umeanzia GSM kwa ufadhili wao kwa nusu ya vilabu vya NBC Premier League, sasa wengine wameamua kuendeleza.Kwa mwenendo wa mpira wetu, ligi kuu, namna waamuzi wanavyofanya maamuzi na mambo mengine nyuma ya pazia, siku si nyingi ligi itapoteza credibility
Pamba jiji Wana mchezaji moddou Camara, ni mlinzi, kaambiwa ni majeruhi hatocheza mechi dhidi ya simba ilhali si majeruhi
Mambo meusi kama kughairisha derby bila sababu za msingi ilhali watu wametoka mikoani na nje ya nchi kuja kutazama, ni kuua ukuaji wa mpira wa Tanzania, wale watu hawatoenda tena Dar toka mikoani na nje ya nchi, sababu hawatokua na uhakika ikiwa mechi itachezwa au laa
Kwa halo ilivyo haya hayatobadilika mpaka mtu au watu waumizwe Ili wengine wahofie kufanya upuuzi kwenye mpira.
Huko ulaya siku za nyuma watu hawakuwa waaminifu, walitanguliza dhulma kwenye mambo mablimbali waliyokubaliana, mpaka risasi zilipoanza kupenya minofu ya watu ndiyo ukazaliwa uaminifu ulaya.
Ninyi Utopolo, hamjachoka tu kulalamika?Kwa mwenendo wa mpira wetu, ligi kuu, namna waamuzi wanavyofanya maamuzi na mambo mengine nyuma ya pazia, siku si nyingi ligi itapoteza credibility
Pamba jiji Wana mchezaji moddou Camara, ni mlinzi, kaambiwa ni majeruhi hatocheza mechi dhidi ya simba ilhali si majeruhi
Mambo meusi kama kughairisha derby bila sababu za msingi ilhali watu wametoka mikoani na nje ya nchi kuja kutazama, ni kuua ukuaji wa mpira wa Tanzania, wale watu hawatoenda tena Dar toka mikoani na nje ya nchi, sababu hawatokua na uhakika ikiwa mechi itachezwa au laa
Kwa halo ilivyo haya hayatobadilika mpaka mtu au watu waumizwe Ili wengine wahofie kufanya upuuzi kwenye mpira.
Huko ulaya siku za nyuma watu hawakuwa waaminifu, walitanguliza dhulma kwenye mambo mablimbali waliyokubaliana, mpaka risasi zilipoanza kupenya minofu ya watu ndiyo ukazaliwa uaminifu ulaya.
Ndiyo maana ya Ubaya UbwelaNdiyo maana simba hutembea na marefa wao na lazima penalty na kadi nyekundu
Nimesikia hata kocha wa Pamba ni Simba lialiaWana golikipa mwenye viwango vya kuchezea timu ya Taifa Yona Amos! Ameachwa nje, na akaanzishwa yule golikipa pazia ambaye mipira inapigwa golini kwake, anasimama tu! Na magoli yanaingia!
Mwamuzi naye mchezaji wa simba akiguswa kidogo tu, anapiga filimbi ya faulo na pia akatoa penati nyepesi kabisa!
Na haya yote yangefanyika kwenye mechi dhidi ya Yanga, aisee GSM angekoma!
Kocha atakuwa amepangiwa kikosi ili kuinufaisha simba. Yule golikipa naye angekuwa anasimama tu halafu magoli yanaingia kwenye mechi dhidi ya Yanga, kelele zingekuwa kutoka kwa wachambuzi uchwara na mashabiki wa Mbereko Fc zingekuwa siyo za dunia hii! "GSM anatuharibia ligi"Nimesikia hata kocha wa Pamba ni Simba lialia