Inapasa mtu( watu) kuumia Ili kuokoa mpira wetu

Pamba si tawi lenu. Ama leo hata Minziro haaminika tena kuwa ni utopolo. Kazi mnayo.
 
Pamba si tawi lenu. Ama leo hata Minziro haaminika tena kuwa ni utopolo. Kazi mnayo.
Vipi kama viongozi wa hiyo timu na ambao wanahusishwa kuwa ni mashabiki wa timu ya Mbereko Fc wakamshinikiza huyo Minziro wa watu kupanga timu dhaifu! Unategemea atakataa ili afe njaa?
 
Kuna hili kuna lingine mkuu singida walipumzisha wachezaji 8 bila sababu za msingi.
 
Samaleko mkuu tunalipa ya fountain gates na singida mkuu.
 
TIMU INA VIPORO VINNE HALAFU UKIAMBIWA KUNA MECHI FIXINGI UNATAKA USHAHIDI? USHAHIDI GANI UNATAKA HAPO?
HUWEZI KUEPUKA UPANGAJI WA MATOKEO KWENYE IPORO
NI SAWA NA KUSEMA MWANAFUNZI AFANYE MTIHANI ULEULE WENZAKE WALIOFANYA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA NANI ATAFELI?
HUYU MSOMALI KAHARIBU MPIRA WETU
 
Kuna mtu bado anabisha kuhusu kuumiza watu Ili mpira wetu upone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…