Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
- Thread starter
-
- #21
Watumishi wa MunguMapastor maigizo au mapastor watumishi wa Munguš¤
Hamna kitu hapo.They are religious marching-guys!Watumishi
Acha kuhukumu mkuu.Hawa wote ukiwapima kwa mizania ya "neno" nabaki namung'unya maneno!
Wito walikuwa nao wautumishi au wameitwa na maokoto kwa kondoooš¤Watumishi wa Mungu
Au sioWatumishi
We sema hamna kitu hapo, but tambua kuna watu wanafunguliwa kupitia hao watenda kazi wa BwanaHamna kitu hapo.They are religious marching-guys!
Neno la Mungu ni gumu na linachanganya sana.Kuna sehemu inatueleza na kututaka kwamba kila tunaloliamua na kulihukumu na mbinguni ni hivyohivyo.Acha kuhukumu mkuu.
Mungu humtumia mtu yeyote amtakaye
Wito wameupata na wanatumika.Wito walikuwa nao wautumishi au wameitwa na maokoto kwa kondoooš¤
Sawa wachume sadaka vizuri tu kama wa bull dozerMmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya
Inapendeza wanapokutana kwa umoja.
View attachment 3017214
Kuna sehemu inatueleza na kututaka kwamba kila tunaloliamua na kulihukumu na mbinguni ni hivyohivyo.
Kushawishi hadi mtu atoe maokoto nao ni aina ya utapeli.Utapeli usioumiza.Wito wameupata na wanatumika.
Maokoto huwa hawayapati kwa kuiba hela za watu bali mtu hutoa sadaka kwa hiari yake mwenyewe.
Kila la kheri zao...
Waache wale madhabahuni kwa Mungu wao.Sawa wachume sadaka vizuri tu kama wa bull dozer
Sema tu huyaelewi maandiko tafuta ufafanuzi neno so gumu kwa mtu ambaye anafuatilia kwa kina kabisaa na sio juujuu tu kaa kazetiNeno la Mungu ni gumu na linachanganya sana.Kuna sehemu inatueleza na kututaka kwamba kila tunaloliamua na kulihukumu na mbinguni ni hivyohivyo.
Soma aya za mwishomwisho kwenye biblia(Yohana) kabla Yesu hajapaa mbinguni.Imeandikwa wapi?
Nishawaacha kitambo tu kazi yangu kuwa zoom wanafanya kazi ya Mungu au maslahi kama wengineWaache wale madhabahuni kwa Mungu wao.
Hapana ndugu, hakuna utapeli hapo mtoa sadaka hutoa kutoka moyoni wala huwa hashawishiwi ama kutapeliwa atoe.Kushawishi hadi mtu atoe maokoto nao ni aina ya utapeli.Utapeli usioumiza.
Nakukataza na ninakukemea.Usifuatilie sana maandiko.Utakuwa chizi.Ishi kawaida tu kadiri ya UPENDO.Sema tu huyaelewi maandiko tafuta ufafanuzi neno so gumu kwa mtu ambaye anafuatilia kwa kina kabisaa na sio juujuu tu kaa kazeti
Ukinikemea haito saidia mpaka niamue mwenyeweNakukataza na ninakukemea.Usifuatilie sana maandiko.Utakuwa chizi.Ishi kawaida tu kadiri ya UPENDO.
Hebu nenda kwenye kamusi yako ya mwaka 1988 usome nini maana ya utapeli.Hapana ndugu, hakuna utapeli hapo mtoa sadaka hutoa kutoka moyoni wala huwa hashawishiwi ama kutapeliwa atoe.