Inapendeza sana kwa waliokuwa waigizaji wanapokutana wakiwa watumishi kanisani

Inapendeza sana kwa waliokuwa waigizaji wanapokutana wakiwa watumishi kanisani

Wito walikuwa nao wautumishi au wameitwa na maokoto kwa kondooo🤔
Wito wameupata na wanatumika.

Maokoto huwa hawayapati kwa kuiba hela za watu bali mtu hutoa sadaka kwa hiari yake mwenyewe.
 
Mmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.

Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.

Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya

Inapendeza wanapokutana kwa umoja.

View attachment 3017214
Sawa wachume sadaka vizuri tu kama wa bull dozer
 
Back
Top Bottom