[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwoya amekua pasta kabla sijakikula kile kipilipili chake basi tu
Daaah Irene kaenda hewani. Sijui kama neno lingepandaMmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya
Inapendeza wanapokutana kwa umoja.
View attachment 3017214
Nani kasema hapo ni bungeni?Hapo ni bungeni?
Huo mlango.Nani kasema hapo ni bungeni?
Milango ya hivyo ipo hadi makanisani mkuuHuo mlango.
OK basi sawa.Milango ya hivyo ipo hadi makanisani mkuu
Wamependeza ...Mmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya
Inapendeza wanapokutana kwa umoja.
View attachment 3017214
Usihukumu na usiwe na mazaoe. Kwa mwanadamu, siku 1 ni kubwa sana. Wanadamu wanabadilika sana, usihukumu kwa yaliyopita mkuu.Hawa wote ukiwapima kwa mizania ya "neno" nabaki namung'unya maneno!