Inapendeza sana kwa waliokuwa waigizaji wanapokutana wakiwa watumishi kanisani

Inapendeza sana kwa waliokuwa waigizaji wanapokutana wakiwa watumishi kanisani

Mmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.

Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.

Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya

Inapendeza wanapokutana kwa umoja.

View attachment 3017214
Daaah Irene kaenda hewani. Sijui kama neno lingepanda
 
Back
Top Bottom