Inapokuja kwenye operesheni za kijeshi, China ni "Paper Tiger" (Mbwa asiye na meno)

Inapokuja kwenye operesheni za kijeshi, China ni "Paper Tiger" (Mbwa asiye na meno)

Sasa mkuu unaokoteza video mitandaoni kujustify nini!? Number zinaonesha China official poverty line ni around 13% (out of 1.405 billion people) na China ni 10% (Out of 341.8 million people). Kwahiyo nani ana masikini wengi zaidi !?
Namba za nini kutoka wapi?

Jamaa umekosa kabsa akili.

Kwahiyo VIDEO hazina maana ila VIDATA UCHWARA vya kuchonga ndio vinafaa???
 
Namba za nini kutoka wapi?

Jamaa umekosa kabsa akili.

Kwahiyo VIDEO hazina maana ila VIDATA UCHWARA vya kuchonga ndio vinafaa???
Kwahiyo Mzee unataka niweke video za masikini wa China, zipo nyingi sana unaweza tafuta mwenyewe usinipotezee muda hapa.
 
Leta ushahidi wa unachokisema, Iv unajua kwamba kwenye hayo mapambano ya muda mfupi (Indo-Pakistan) hazikutumika JF-17 pekee!? Zilitumika F-16 na MiG-21 na hakuna ushahidi unaonesha kwamba JF-17 zili outperform jets za nchi nyingine
1770816736630.png

1770816823875.png
 
Namba za nini kutoka wapi?

Jamaa umekosa kabsa akili.

Kwahiyo VIDEO hazina maana ila VIDATA UCHWARA vya kuchonga ndio vinafaa???
Mkuu unajipotezea muda.
Hapo haujadiliani na mtu bali unabishana na mtu. Huyo tayari ana majibu yake kichwani hataki kupokea majibu mengine.
Achana naye,pia ana hoja za kitoto.
Ukimuuliza maswali anatokea hapa anarukia hapa na kutoa hoja dhaifu.
Muache ajifurahishe maana ana majibu yake kichwani.
 
Mara ya mwisho kwa PRC kupigana vita ilikuwa mwaka 1979, na ulikuwa ni mgogoro mdogo sana kule Vietnam. China imekuwa ikijificha nyuma ya kivuli cha soft power na propaganda, lakini inapokuja kwenye operesheni za kisasa za kijeshi, kwa bahati mbaya ni "Paper Tiger" (mbwa asiye na meno). Licha ya kujimwambafai na gwaride za kijeshi, vitisho kutoka Beijing, na maonesho ya silaha na ndege za kivita, lakini hawa Wachina hatujawaona kwenye operesheni yoyote ya maana ya kivita kwa miaka ya hivi karibuni.

China haina uzoefu wa mapambano ya kisasa kama mataifa mengine kama vile Marekani, NATO (Ulaya), Iran, Israel, na mataifa mengine ya Mashariki ya Kati.

Hata baadhi ya nchi za Afrika kama vile DRC, Rwanda, Misri, Afrika Kusini, Nigeria, na Ethiopia kwa miaka ya hivi karibuni zina uzoefu mkubwa wa mapambano (military combat experience) kuliko China.

Licha ya kujisifia kuwa na mfumo Bora na tata a wa ulinzi wa anga (Air defense system), China alishindwa kumlinda hata Mkuu wa Nchi wa Venezuela alipotoweka. Wachina wameshindwa kabisa na hawana uwezo kurudisha kisiwa chao (Taiwan) ambacho kipo umbali wa kuogelea tu kutoka nchi kavu yao.

Ukweli ni kwamba Hawa wachina Uwezo wao wa kijeshi umejengwa juu ya propaganda, vitisho na maneno matupu ya vyombo vya habari lakini hawana uzoefu(experience) halisi kwenye mapambano ya kisasa ya kijeshi.
China anao uwezo wa kujenga na kulinda uchumi wa nchi yake bila ya kupora mali za mataifa mengine ndio maana unamuona Hana mpango wa kupigana na mtu

Siraha zake ni Kwa ajili ya kujilinda tu
 
Soma paragraph hizo kwa umakini, hamna sehemu yeyote hapo imeonyesha kwamba jets za China zilioutoperform jets nilizozitaja mwanzoni.

What does Outperform mean kwenye air combat?

Hoja zako za kushindwa kumlinda Maduro ni hoja dhaifu sana, jeshi sio kifaru kimoja au radar moja... ni muunganiko wa vitu vingi + competent operators.

Sasa kama watu waliamua kumuuza rais wao unategemea nini?
 
China anao uwezo wa kujenga na kulinda uchumi wa nchi yake bila ya kupora mali za mataifa mengine ndio maana unamuona Hana mpango wa kupigana na mtu

Siraha zake ni Kwa ajili ya kujilinda tu
Rudia vizuri kusoma ulichokiandika hapa.
 
Mkuu unajipotezea muda.
Hapo haujadiliani na mtu bali unabishana na mtu. Huyo tayari ana majibu yake kichwani hataki kupokea majibu mengine.
Achana naye,pia ana hoja za kitoto.
Ukimuuliza maswali anatokea hapa anarukia hapa na kutoa hoja dhaifu.
Muache ajifurahishe maana ana majibu yake kichwani.
Wewe umeshindwa kutetea unachokiamini, ilhali wengine wanaleta hoja zao vizuri hapa dhidi yangu. Unaishia kufanya kufanya personal attacks na kutoka nje ya mada badala ya kujibu hoja kwa msingi wa mjadala husika. Jifunze namna ya kufanya debate bila kufanya personal attacks; hunijui, sikujui, tupo kwenye forum kwa ajili ya hoja. Kama huna uwezo huo, kaa kimya na ubaki kuwa spectator badala ya kufanya mashambulizi kwa hisia tu. Train ubongo wako kufanya mjadala bila hisia.
 
Hakuna sehemu niloleta personal attack unless hujui maana ya personal attack.
Nimeeleza uhalisia. Huna cha kunifunza kijana pia HUNA UNALOJUA.
Ni sahihi una majibu yako kichwani na unalazimisha mawazo.
Uwe na wakati mwema na mada yako.
Huwa najadiliana HUWA SIBISHANI.
Endelea kubishana KWAHERI.
 
We acha porojo, nani alikwambia Mkomunisti strategy yake peke yake ni kujenga uchumi!? Hivi unajua kwamba mojawapo ya top priorities za Xi' tangia akae kwenye mamlaka ni kumodernize Jeshi la China!? Hivi unajua China ndiye the world's second biggest military budget akitumia at least 4% ya GDP yake kutengeneza na kumodernize Jeshi lake !? Acheni porojo.
PAthetic! Baki na Ujinga wako!
 
Back
Top Bottom