- Thread starter
- #81
Ukiachana na China kufanya procurement ya vifaa vya kijeshi kwa nchi masikini, Kwa sasa China imekuwa na ukosefu wa mauzo ya kimataifa ya vifaa vyake “bora” kwa sababu hakuna anayevitaka kwa sasa. Pakistan ilinunua drones nyingi za aina zote na ukubwa wote, lakini ndani ya miezi sita zilirudishwa zote kwa ajili ya matengenezo kwa sababu hazikufanya kazi kama ilivyotangazwa. Teknolojia ya injini zao ilikuwa ya kizamani kuliko hata za Magharibi na hata Urusi. Kuna stories nyingi undercover kuhusu wateja wa silaha wa Kichina wakijaribu kupata msaada wa matengenezo ya mfumo wa silaha wa bei nafuu na ubora mdogo walizonunua China. Mara nyingi wachina wamekuwa wakiwaignore. Hivyo wateja hulazimika kutengeneza vifaa vyao kwa kutumia vifaa vya kijeshi vya Marekani na Ulaya.Kabla hujaongea utumbo na kujiaibisha uwe unafanya tafiti bro.
-Hiyo China unayoisemea ndio inaisaidia Cambodia indirectly kupigana na Thailand,tena vifaa vyake vimeonesha kuwa effective na efficient.
-Mwaka juzi na mwaka jana mwanzoni India alibondwa mpakani na China hadi akaenda kulalamika umoja wa mataifa kwa vifaa hivyo hivyo unavyosema havina uzoefu.
-Mwaka jana mapigano baina yaa India na Pakistan,Pakistan ilifanikiwa kudungua ndege za rafale kwa vifaa vya China na usaidiizi wa satellite za China.
-South China sea,China ameteka visiwa vidogo vya Ufilipino ambaye ni mshirika wa Marekani. Marekani alibwata sana na kupeleka manowari. Ziliishia kurudi kwa aibu baada ya China kufanya majaribio ya Dong feng missiles kilometa chache na hizo manowari.
-Kesi ya Taiwan inaweza kuamuliwa kidiplomasia zaidi kuliko kinguvu ya jeshi.
Kwani Hong Kong na Macau zilirejeshwaje China!?
Kama ilivyorejeshwa Macau na Hong Kong pasi na mtutu basi Taiwan itarejeshwa vivyo hivyo.
Kama haujui China ndio nchi pekee duniani inayotumia mabavu pasi na silaha na kufanikiwa.
Vita za bunduki za kizamani.
Hiyo Iran unayoitaja vita ya June imetumia satellite ya China kuitwanga Israel. Na mwaka huu amechukua mifumo ya ulinzi ya China ili ilinde anga lake.
-Venezuela hana SECURITY PACT na China. Aliye security pact na China ni North Korea na Russia.
Wakuu kama hamujui msiongee.