- Thread starter
- #41
Marekani mbona amefanya military operations nyingi sana recently unaishi kwenye Karne ya ngapi mkuu.Vita ipi ya karibuni, Marekani amewahi kupigana moja kwa moja?
Marekani mbona amefanya military operations nyingi sana recently unaishi kwenye Karne ya ngapi mkuu.Vita ipi ya karibuni, Marekani amewahi kupigana moja kwa moja?
Hakuna MKOMUNIST mwenye sekta binafsi.China ni communist kaka,labda wawe wamebadilika zama hizi.
Kijana kama HUJUI nyamaza.Acha porojo na propaganda za kikomunisti, leta takwimu zinazoonyesha kuwa hivyo vifaa vilifanya kazi kwa ukamilifu. Wakati huohuo, karibu kila siku China inarusha makombora ambayo huishia kwenye fukwe za Taiwan, na wakati huo huo imeshindwa hata kudhibiti ipasavyo Bahari ya Kusini ya China (South China Sea).
Hizo za kutokea kwenye military bases???Marekani mbona amefanya military operations nyingi sana recently unaishi kwenye Karne ya ngapi mkuu.
-Taja hizo millitary operations alizofanya Marekani na akafanikiwa kuanzia 2015 hadi 2026.Marekani mbona amefanya military operations nyingi sana recently unaishi kwenye Karne ya ngapi mkuu.
Haka kajamaa hakajui halafu kanabisha.Hizo za kutokea kwenye military bases???
Upo sahihi kabisa, lakini pia inatambulika km communist country sababu inaongozwa chama cha kikomunist.Halafu China siyo Communist. Ile ni SOCIALIST.
Ni socialist ila wanaongozwa na chama cha kikomunist. Nina usingizi nitaeudi baadaeChina ni communist kaka,labda wawe wamebadilika zama hizi.
Jamaa Huwa ni Kama hafuatilii ya duniani....Marekani mbona amefanya military operations nyingi sana recently unaishi kwenye Karne ya ngapi mkuu.
Unaleta hadithi zako za kijiweni na unageneralize mambo; unatumia taarifa za procurement za kuuza vifaa vya kivita kwa nchi husika kuhalalisha uzoefu wa China katika mapigano ya kijeshi. Mjomba unajua maana ya neno “experience”?Kijana kama HUJUI nyamaza.
Pia kama hujui uliza uambiwe.
-J-10C alizotumia Pakistan dhidi ya India mlijenga kwenu au zilijenga ukoo wenu!?
-Satellite ya Beidoi aliyotumia Iran kuishambulia Israel 2025 mlijenga barazani kwenu!??
-KAMA USA MWANAUME KWANINI HAJAMSAIDIA UFILIPINO KUGOMBOA VISIWA VYAKE!???
Yani we jamaa HUNA UNACHOJUA halafu unaleta ubishani wa KIPUMBAVU.
Ameshakusoma mkuu nina imani atafanya hivyoJamaa Huwa ni Kama hafuatilii ya duniani....
Mwambie aka Gugu hizi terminology
Operation DESERT STORM
operation TORCH
Vietnam war
N.k. atleast atapata mwanga
Umefanya ku limit time frame...ningekutajia-Taja hizo millitary operations alizofanya Marekani na akafanikiwa kuanzia 2015 hadi 2026.
Operation Freedom’s Sentinel (Afghanistan)-Taja hizo millitary operations alizofanya Marekani na akafanikiwa kuanzia 2015 hadi 2026.
Visiwa vya Filipino vimetekwa lini na China bwashee!?Haka kajamaa hakajui halafu kanabisha.
Eti anakwambia China imeshindwa kulinda South China sea,ilhali South China sea ipo chini ya China na hadi visiwa vya Ufilipino vimetekwa na China.
Sijui huwa hatizami habari huyu kijana!?
Suala la kujenga nchi ni la mileleAnajenga mpaka lini !? China Hana uwezo wa kufanya military interventions Taiwan, China ni softpower.
Marekani, NATO (Ulaya)
NATO anahusika vipi hapa !?
Kweli kabisa Kiuchumi wapo vizuri.Simchezo....ila china wapo vizuri kiuchumi
yawezekana ukawa sahihi pia,Maamuzi mengine huambatana na uwezo wako wa kimbinu; huwezi kutumia mbinu ambazo huna uhakika nazo.