China ilitawaliwa na Japan kweli sio kweli? Ilipataje Uhuru wake?Ukweli ni kwamba, China haijawahi kupimwa moja kwa moja vitani, Hivyo ni paper tiger hadi ithibitishwe vinginevyo. Kwa upande wa Marekani, imehusika moja kwa moja katika operesheni nyingi za kijeshi, nyingine zikiwa na mafanikio na nyingine zikiwa hazijafanikiwa, haijalishi imepigana na nani. Taja vita ambavyo China ilishiriki tangu mwaka 1979.
China hutambulika zaidi kama soft power kwa sababu nguvu yake kubwa duniani imejengwa zaidi kupitia uchumi, diplomasia, biashara, na ushawishi wa kimkakati, badala ya matumizi ya moja kwa moja ya nguvu za kijeshi.Elezea sababu vizuri, software power how?
Twende taratibu mkuu, ndio maana nikasema story nzuri ila mpangilio wa vile unavyoandika ndio changamotoTaja vita ambayo China ameshiriki Moja kwa Moja tangia mwaka 1979.
Mkuu tunaongelea post-1979 hapa.China ilitawaliwa na Japan kweli sio kweli? Ilipataje Uhuru wake?
Ndio hivyo tu?China hutambulika zaidi kama soft power kwa sababu nguvu yake kubwa duniani imejengwa zaidi kupitia uchumi, diplomasia, biashara, na ushawishi wa kimkakati, badala ya matumizi ya moja kwa moja ya nguvu za kijeshi.
Inabidi tuanzie nyuma kabla ya kwenda mbeleMkuu tunaongelea post-1979 hapa.
Tunaongelea post-1979Twende taratibu mkuu, ndio maana nikasema story nzuri ila mpangilio wa vile unavyoandika ndio changamoto
Marekani amewahi kupigika mara kibao huko Afghanistan, Vietnum akakimbia.Ukweli ni kwamba, China haijawahi kupimwa moja kwa moja vitani, Hivyo ni paper tiger hadi ithibitishwe vinginevyo. Kwa upande wa Marekani, imehusika moja kwa moja katika operesheni nyingi za kijeshi, nyingine zikiwa na mafanikio na nyingine zikiwa hazijafanikiwa, haijalishi imepigana na nani. Taja vita ambavyo China ilishiriki tangu mwaka 1979.
Unafahamu maana ya softpower!?Ndio hivyo tu?
Bro,kitendo cha kuisaidia nchi kwa vifaa na vile vifaa vikafanya kazi kikamilifu,hilo ni tishio tayari kwa nchi zingine.Mkuu, hapa unazungumzia procurement ya vifaa vya kijeshi kwenda katika nchi husika. Lakini hoja inayozungumziwa hapa ni ushiriki wa moja kwa moja katika mapigano ya kijeshi (military combat). Weka hapa historical facts na rekodi, unaweza kutaja ni wapi China imejihusisha moja kwa moja katika mapigano ya anga (aerial military combat) tangu mwaka 1979?
Hoja hapa ni tangu vita vya China na Vietnam mwaka 1979, China haijawahi kushiriki kikamilifu katika mapambano ya moja kwa moja ya kijeshi. Na hii ndiyo sababu, licha ya maendeleo yake ya kiuchumi na kiteknolojia, uwezo wake wa hard power bado unaonekana zaidi kwenye karatasi kuliko katika uhalisia wa uwanja wa vita.
Marekani ina propaganda zake, lakini propaganda za kikomunisti ni hatari zaidi. China huficha hata taarifa za msingi ilimradi tu iendelee kuonekana katika taswira inayotaka. Siku China atakapovuliwa pazia, ndipo itakapodhihirika wazi kwa nini anaitwa paper tiger.Marekani amewahi kupigika mara kibao huko Afghanistan, Vietnum akakimbia.
Marekani Urusi wamemdindia ameshindwa kuweka Milirary base Ukraine.
Wachina wamemdindia Marekani kashindwa kuweka military base Taiwan.
Bila hizo military bases, Marekani hana jipya.
Marekani ana military base South Korea ila kashindwa kumshambulia North Korea.
Marekani anachojua ni propaganda na makelele.
Marekani alishakufa, ni Kama SIMBA MZEE.Bro,kitendo cha kuisaidia nchi kwa vifaa na vile vifaa vikafanya kazi kikamilifu,hilo ni tishio tayari kwa nchi zingine.
Inamaana yeye mwenyewe China akisema atumie hizo silaha huchomoki.
USA hakuwa mjinga kukimbia South China sea na kuacha kumsaidia Ufilipino kukomboa visiwa vyake,tena ni mwaka juzi tu 2024 wala sio mbali.
-Nenda ka search border cross fire kati ya India na China,India alichapwa kikando cha kimya kimya cha siku tatu alipotaka kuleta border violation.
China ni sleeping giant,umsichukulie poa.
-Sera za China zimejikita katika nguvu ya ushawishi wa siasa zakikanda na nguvu ya uchumi.
Na hilo ndilo la muhimu kwa dunia ya sasa. Dunia ya sasa hakuna anayesujudu katika nguvu za kijeshi.
Nadhani unaona USA inavyoaibika siku hizi.
Nchi ndogo zinamkoromea na kumchokonoa.
Nguvu ipo kwenye uchumi siku hizi.
Usisahau China ana hydrogen bomb,nchi pekee yenye hydrogen bomb. Na hili bomu ni hatari mara kumi ya nuclear bomb.
Na China ameshamtisha USA,akithubutu kumzingua kijeshi,anapiga hydro bomb directly White house.
Taarifa zipi China anaficha??Marekani ina propaganda zake, lakini propaganda za kikomunisti ni hatari zaidi. China huficha hata taarifa za msingi ilimradi tu iendelee kuonekana katika taswira inayotaka. Siku China atakapovuliwa pazia, ndipo itakapodhihirika wazi kwa nini anaitwa paper tiger.
yeye kama kaamua vita sio kipaumbele chake ni yeye kaamua mkuu, wewe shangilia trump anavotaka kuiiba venezuela na greenlandAnajenga mpaka lini !? China Hana uwezo wa kufanya military interventions Taiwan, China ni softpower.
Vita ipi ya karibuni, Marekani amewahi kupigana moja kwa moja?Taja vita ambayo China ameshiriki Moja kwa Moja tangia mwaka 1979.
Acha porojo na propaganda za kikomunisti, leta takwimu zinazoonyesha kuwa hivyo vifaa vilifanya kazi kwa ukamilifu. Wakati huohuo, karibu kila siku China inarusha makombora ambayo huishia kwenye fukwe za Taiwan, na wakati huo huo imeshindwa hata kudhibiti ipasavyo Bahari ya Kusini ya China (South China Sea).Bro,kitendo cha kuisaidia nchi kwa vifaa na vile vifaa vikafanya kazi kikamilifu
-Kaka walianza kutaka kumvua nguo China katika upande wa silaha. Walidai silaha za China hazina uwezo.Marekani ina propaganda zake, lakini propaganda za kikomunisti ni hatari zaidi. China huficha hata taarifa za msingi ilimradi tu iendelee kuonekana katika taswira inayotaka. Siku China atakapovuliwa pazia, ndipo itakapodhihirika wazi kwa nini anaitwa paper tiger.
Maamuzi mengine huambatana na uwezo wako wa kimbinu; huwezi kutumia mbinu ambazo huna uhakika nazo.yeye kama kaamua vita sio kipaumbele chake ni yeye kaamua mkuu, wewe shangilia trump anavotaka kuiiba venezuela na greenland
China ni communist kaka,labda wawe wamebadilika zama hizi.Taarifa zipi China anaficha??
Halafu China siyo Communist. Ile ni SOCIALIST.