Inapokuja kwenye operesheni za kijeshi, China ni "Paper Tiger" (Mbwa asiye na meno)

"China’s stated defense policy stresses that its military is defensive in nature and meant to safeguard national security, not to attack others. "

Hii inaamaana kua China katu hawawezi ku attack nchi nyingine kama njia ya kutetea Migogoro kama anavyo fanya USA na RUSIA.

Jeshi lao lina Defenfe policy, kama lilivo jeshi l kulinda amani la UN.
 
Ni kweli, lakini haiwezekani kwamba ameamua kutumia njia hiyo ya kuwa defensive kwa sababu hana uwezo wa kijeshi. Huoni kwamba the Western bloc imeanza kumnyemelea taratibu China kama ilivyofanya kwa USSR? Ni suala la muda sasa kwani USA tayari ameanza kuingilia interests za China kwa nguvu, mfano huko Venezuela, Latin America na Afrika. Bila kutumia hard power, China atawezaje kulinda maslahi yake katika mataifa mengine, apart from kufanya lobbying kwa viongozi mafisadi wa nchi hizo bila kufanya military interventions?
 
Kwa karne ya sasa Millitary interventions Sio sera sahihi ya Ku establish influence ya kibiashara.

Ni kwa bahati mbaya sana, USA ndo njia pekee aliyo bakiwa nayo kiasi kwamba asipo itumia anaanguka.
 
Acha porojo na propaganda za kikomunisti, leta takwimu zinazoonyesha kuwa hivyo vifaa vilifanya kazi kwa ukamilifu. Wakati huohuo, karibu kila siku China inarusha makombora ambayo huishia kwenye fukwe za Taiwan, na wakati huo huo imeshindwa hata kudhibiti ipasavyo Bahari ya Kusini ya China (South China Sea).
Ndugu ,pamoja na kua marekani kapigana vita nyingi kuliko china,nitajie ni vita ngapi Marekani kashinda na vita ngapi kashindwa?
Usisahau kuweka vita za vietny, Afghanistan na somalia.
Maana inakua huna tofauti kupigana vita nyingi halafu ukashindwa na kutokupigana vita kabisa kama vile china.
 
Umefanya ku limit time frame...ningekutajia
Mada yenyewe imeweka kikomo cha muda kuanzia 1979.
Kiufupi hakuna any successful millitary mission US alifanya kuanzia 2015 kuja hadi sasa.
Watu wamegeukia nguvu ya kiuchumi kwasasa.
 
Unaleta hadithi zako za kijiweni na unageneralize mambo; unatumia taarifa za procurement za kuuza vifaa vya kivita kwa nchi husika kuhalalisha uzoefu wa China katika mapigano ya kijeshi. Mjomba unajua maana ya neno “experience”?
Kama hadithi za vijiweni thibitisha hapa kama ni hadithi za vijiweni.
Nahisi nabishana na much know asiyejua lolote. Nimekuuliza swali moja tu umeshindwa kujibu.
KAMA CHINA NI NCHI DHAIFU KWANINI USA ALIKIMBIA SOUTH CHINA SEA NA HAKUISAIDIA UFILIPINO KUREJESHA VISIWA!??
Nataka jibu ya hilo swali.
 
Mara ya mwisho kwa PRC kupigana vita ilikuwa mwaka 1979, na ulikuwa ni mgogoro mdogo sana kule Vietnam. China imekuwa ikijificha nyuma ya kivuli cha soft power na propaganda, lakini inapokuja kwenye operesheni za kisasa za kijeshi, kwa bahati mbaya ni "Paper Tiger" (mbwa asiye na meno). Licha ya kujimwambafai na gwaride za kijeshi, vitisho kutoka Beijing, na maonesho ya silaha na ndege za kivita, lakini hawa Wachina hatujawaona kwenye operesheni yoyote ya maana ya kivita kwa miaka ya hivi karibuni.

China haina uzoefu wa mapambano ya kisasa kama mataifa mengine kama vile Marekani, NATO (Ulaya), Iran, Israel, na mataifa mengine ya Mashariki ya Kati.

Hata baadhi ya nchi za Afrika kama vile DRC, Rwanda, Misri, Afrika Kusini, Nigeria, na Ethiopia kwa miaka ya hivi karibuni zina uzoefu mkubwa wa mapambano (military combat experience) kuliko China.

Licha ya kujisifia kuwa na mfumo Bora na tata a wa ulinzi wa anga (Air defense system), China alishindwa kumlinda hata Mkuu wa Nchi wa Venezuela alipotoweka. Wachina wameshindwa kabisa na hawana uwezo kurudisha kisiwa chao (Taiwan) ambacho kipo umbali wa kuogelea tu kutoka nchi kavu yao.

Ukweli ni kwamba Hawa wachina Uwezo wao wa kijeshi umejengwa juu ya propaganda, vitisho na maneno matupu ya vyombo vya habari lakini hawana uzoefu(experience) halisi kwenye mapambano ya kisasa ya kijeshi.
China kwa sasa anajenga uchumi wake ili uwe thabiti. US Kila Mwaka anashangaa kuona China inajiimarisha zaidi kijeshi. Ni suala la muda tu, tumpe miaka 20 hadi 30 ijayo, CHINA itakuwa Super Power Duniani kote
 
Kwa karne ya sasa Millitary interventions Sio sera sahihi ya Ku establish influence ya kibiashara.

Ni kwa bahati mbaya sana, USA ndo njia pekee aliyo bakiwa nayo kiasi kwamba asipo itumia anaanguka.
Unatumia nadharia gani kusema kwamba kwa sasa military interventions si sera sahihi ya kuestablish influence ya kibiashara?

Unatumia facts zipi kusema kwamba Marekani imebaki na sera hiyo pekee kiasi kwamba itaanguka? Inaonekana hujui namna USA inavyoendesha uchumi wake.

Kwa sasa Marekani ndiyo world’s largest economy na imemzidi China. Kwa miaka kadhaa kumekuwa na madai kwamba China ataizidi Marekani kiuchumi, lakini hadi sasa hajafanikiwa kufanya hivyo.

Hawa Wachina ambao bado wanahangaika na kandarasi za kujenga barabara Afrika, kufanya uchuuzi Kariakoo, na kufanya kilimo huko ndani Katavi, wataendelea kubaki kwenye nadharia hizo kwa muda mrefu sana.
 
Ndugu ,pamoja na kua marekani kapigana vita nyingi kuliko china,nitajie ni vita ngapi Marekani kashinda na vita ngapi kashindwa?
Usisahau kuweka vita za vietny, Afghanistan na somalia.
Maana inakua huna tofauti kupigana vita nyingi halafu ukashindwa na kutokupigana vita kabisa kama vile china.
Nikuulize swali, Marekani anapopigana vita, huwa ana malengo gani hasa? Na katika vita hizo, je malengo yake yalifanikiwa au la?
Halafu, nchi ulizozitaja ni failed states. Sasa sijui, hizo vita wanazodai kushinda zimewasaidia nini hasa dhidi ya Mmarekani?
 
Unatumia nadharia gani kusema kwamba kwa sasa military interventions si sera sahihi ya kuestablish influence ya kibiashara?

Unatumia facts zipi kusema kwamba Marekani imebaki na sera hiyo pekee kiasi kwamba itaanguka? Inaonekana hujui namna USA inavyoendesha uchumi wake.

Kwa sasa Marekani ndiyo world’s largest economy na imemzidi China. Kwa miaka kadhaa kumekuwa na madai kwamba China ataizidi Marekani kiuchumi, lakini hadi sasa hajafanikiwa kufanya hivyo.

Hawa Wachina ambao bado wanahangaika na kandarasi za kujenga barabara Afrika, kufanya uchuuzi Kariakoo, na kufanya kilimo huko ndani Katavi, wataendelea kubaki kwenye nadharia hizo kwa muda mrefu sana.
Inaonekana hujaijua Marekani na hujaijua China.

Nakushauri, jipe fikra huru zisizo na ushabiki then anza kuchunguza.

Kwanza Marekaninna China zina watu wenye tamaduni tofauti.

Huo uchumi unaosema ni GDP ambayo Cjija wala.haiipi kipaumbele, kama.ilivyo kwa thamani ya sarafu yao.

Unaposema.wachina wako, Kariakoo, unatakiwa kujua China ina watu zaidi ya Bilioni 1 na hakuna anayelala nje.

Maekani ina watu milioni 350 na wengi wao wanaishi kwa Madeni na wanalala nje.

Ngivu ya Marekani imebaki military bases na Dollar.

In short, kwasasa Marekani hamuwezi hata Mrusi achana na China.
 
Mada yenyewe imeweka kikomo cha muda kuanzia 1979.
Kiufupi hakuna any successful millitary mission US alifanya kuanzia 2015 kuja hadi sasa.
Watu wamegeukia nguvu ya kiuchumi kwasasa.
Unaposema kwamba hakuna operesheni yoyote ya kijeshi iliyofanikiwa kuanzia mwaka 2015 bila kufanya utafiti, unajionyesha kuwa wewe ni mpumbafu. Aidha, unapodai kuwa mataifa yamegeukia nguvu ya kiuchumi pekee bila takwimu au ushahidi, unakuwa mpumbafu. Taja taifa lililochukua mkondo huo na kuizidi Marekani katika kipindi cha zaidi ya miaka kumi-hakuna.
Kwanza, tambua hili, katika miaka ya hivi karibuni mataifa mengi kama Urusi, Ukraine, Ujerumani, Poland, Finland, Sweden, Marekani, Japan, Australia, Ufilipino, Israel, Iran, Saudi Arabia na China yameongeza matumizi na maandalizi ya kijeshi kutokana na kuongezeka kwa migogoro na mvutano wa kijiografia duniani. Kuanzia vita ya Urusi–Ukraine hadi mvutano wa Marekani–China katika Indo-Pacific na hali ya Mashariki ya Kati, takwimu zinaonesha ongezeko kubwa la uwekezaji katika silaha, mazoezi ya kijeshi na ushirikiano wa kiusalama, sasa hizo nadharia zako zinatoka wapi bwashee?
 
Inaonekana hujaijua Marekani na hujaijua China.

Nakushauri, jipe fikra huru zisizo na ushabiki then anza kuchunguza.

Kwanza Marekaninna China zina watu wenye tamaduni tofauti.

Huo uchumi unaosema ni GDP ambayo Cjija wala.haiipi kipaumbele, kama.ilivyo kwa thamani ya sarafu yao.

Unaposema.wachina wako, Kariakoo, unatakiwa kujua China ina watu zaidi ya Bilioni 1 na hakuna anayelala nje.

Maekani ina watu milioni 350 na wengi wao wanaishi kwa Madeni na wanalala nje.

Ngivu ya Marekani imebaki military bases na Dollar.

In short, kwasasa Marekani hamuwezi hata Mrusi achana na China.
Mkuu wewe ndiye unayeongea kwa ushabiki bila facts, niwekee data na facts from credible sources za hayo yote uliyoyasema.
 
Pot
Inaonekana hujaijua Marekani na hujaijua China.

Nakushauri, jipe fikra huru zisizo na ushabiki then anza kuchunguza.

Kwanza Marekaninna China zina watu wenye tamaduni tofauti.

Huo uchumi unaosema ni GDP ambayo Cjija wala.haiipi kipaumbele, kama.ilivyo kwa thamani ya sarafu yao.

Unaposema.wachina wako, Kariakoo, unatakiwa kujua China ina watu zaidi ya Bilioni 1 na hakuna anayelala nje.

Maekani ina watu milioni 350 na wengi wao wanaishi kwa Madeni na wanalala nje.

Ngivu ya Marekani imebaki military bases na Dollar.

In short, kwasasa Marekani hamuwezi hata Mrusi achana na China.
Kuna universal indicators zinazotumika Duniani kote zinazoonesha yupi ni Mkubwa zaidi ya mwingine tujikite kwenye hizo objective indicators unaanza kuleta subjective opinions kwenye hii mada.Et Mrusi kamzidi USA,
 
Kwa nini unataka China ipigane vita ? Na ipigane na nani ? Kwa manufaa ya nani ? Au unafikiri vita ni michezo ya kufurahisha roho za watu ?

Punguza ujinga.
 
GDP ni indicators za WB na IMF kama taasisi za mikopo. Lengo ni kuona una utajiri kasi gani, na hivyo unastahili kukopa kiasi gani.

Hakuna kingine.

Mbona Yuan iko chini dhidi ya Dollar, kwa maamuzi yao China wenyewe mpaka Trump analalamika.

Kama na ubavu na yeye aweke thamani ya Dollar chini, ili apambane na China.

Leo ukikopa China , unarudisha kwa Yuan na siyo Dollar. Maana yake wakopaji wataanza kuwa na Yuan reserves na siyo Dollar reserves.
 
Kama hadithi za vijiweni thibitisha hapa kama ni hadithi za vijiweni.
Nahisi nabishana na much know asiyejua lolote. Nimekuuliza swali moja tu umeshindwa kujibu.
KAMA CHINA NI NCHI DHAIFU KWANINI USA ALIKIMBIA SOUTH CHINA SEA NA HAKUISAIDIA UFILIPINO KUREJESHA VISIWA!??
Nataka jibu ya hilo swali.
Halafu hivyo visiwa vya Ufilipino ni vipi bwashee!? Yani miamba siku hizi imekuwa visiwa!?
 
GDP ni indicators za WB na IMF kama taasisi za mikopo. Lengo ni kuona una utajiri kasi gani, na hivyo unastahili kukopa kiasi gani.

Hakuna kingine.

Mbona Yuan iko chini dhidi ya Dollar, kwa maamuzi yao China wenyewe mpaka Trump analalamika.

Kama na ubavu na yeye aweke thamani ya Dollar chini, ili apambane na China.

Leo ukikopa China , unarudisha kwa Yuan na siyo Dollar. Maana yake wakopaji wataanza kuwa na Yuan reserves na siyo Dollar reserves.
Sawa leta hata hizo indicators za Mchina zinazoonesha kamzidi Marekani kwa uchumi.
 
Kwa nini unataka China ipigane vita ? Na ipigane na nani ? Kwa manufaa ya nani ? Au unafikiri vita ni michezo ya kufurahisha roho za watu ?

Punguza ujinga.
Aisee, someni historia. Wewe ndiye mjinga vita si uvumbuzi wa Mmarekani bali ni jambo ambalo limekuwa likitumika kama njia ya kujenga ushawishi duniani. Haiwezekani katika dunia hii nchi ikawa super power bila kutumia operesheni za kijeshi kujenga ushawishi wake, iwe wa kiuchumi au wa kimamlaka. Endeleeni kuota.
 
Sawa leta hata hizo indicators za Mchina zinazoonesha kamzidi Marekani kwa uchumi.
  • China haina madeni
  • Ina surplus trade
  • Hakuna Mchina analala njaa au homeless
  • Anafanya mradi wowote comfortably kwa watu wake bila kuangalia faida
  • Ana sector binafsi shindani

Haya yote huwezi kuyakuta Marekani.
 
Back
Top Bottom