MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,115
- 15,057
Hii point muhimu... CHINA ni muuzaji mkubwa wa silaha, na zimefanya kazi kwenye vurumai ya Indo-Pakistan kwa ufanisi mkubwa sana-Mwaka jana mapigano baina yaa India na Pakistan,Pakistan ilifanikiwa kudungua ndege za rafale kwa vifaa vya China na usaidiizi wa satellite za China.