Inaposemwa mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja huashiria kwamba hata mkeo anaweza kuwa wa mwanaume mwingine

Inaposemwa mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja huashiria kwamba hata mkeo anaweza kuwa wa mwanaume mwingine

Wanawake ni wale wale na wanaume ni wale wale. Ukitoa, ukajumlisha kisha ukazidisha na kumalizia na kugawanya utagundua mzunguko wa wazinifu ni ule ule.

Kipimo kizuri ni mlipuko wa gonjwa la zinaa lisilozuilika hata kwa Condom ndo litaonyesha kwa uwazi kuwa wazinifu ni wale wale.
 
Walikuwa hawajui ndio maana huwa napinga sana kuchungazana kwa wanandoa,kama kuna sintofahamu huwa naamini ipo siku itajulikana

Wengi wetu tunajua zinaa ni njia mbaya ila bila kumuelekea Mungu kwa ibada na kuwa waja wema ni ngumu kutoboa
Kuchunguzana mienendo ya mtu unaye ishi naye ni muhimu na ni razima kwa ajili ya usalama wa maisha yako na afya yako.

Narudia tena kumchumguza mienendo ya mkeo au mmeo ni muhimu na razima ili kama ni mtu mchafu uweze kuepuka mapema kabla ya kukuharibia maisha yako.
 
Kweli kabisa boss,ndio huyo mwamba pamoja na kula wanawake 400+ bado mkewe hakujua chochote,wanaume tunaweza kutenganisha kati ya mke na hawara,,lkn mwanamke anawekeza hisia zote kwa mchempuko mpya,ingawa ni wachache sana wapo smart
Na kamzalisha mkewe bandika bandua watoto 6....shenzy...
 
Kwahiyo sahivi uko wapi?
miss jf Evelyn Salt ina maana simu zangu huzi
Kuchunguzana mienendo ya mtu unaye ishi naye ni muhimu na ni razima kwa ajili ya usalama wa maisha yako na afya yako.

Narudia tena kumchumguza mienendo ya mkeo au mmeo ni muhimu na razima ili kama ni mtu mchafu uweze kuepuka mapema kabla ya kukuharibia maisha yako.
Unadhani mbinu hiyo itakuokoa na mtu ambaye ameamua kufanya mambo yake?

Mimi nimeona mifano mingi ya watu wenye mitazamo kama yako na walifanya hivyo lakini mwisho wa siku walipigwa matukio

Kuna watu huwa na simu mbili kwa ajili ya kazi na huwa inaachwa ofisini,kuna ambao huko maofisini wanamalizana kwenye magari,yaani unachofanya kumchunguza ni kupunguza tone la maji kwenye bahari,labda huyo hajaamua ila akiamua trust me analiwa tu
 
This could only make sense if a woman could possibly gets impregnated by two or more men at the same time and give birth to the kids carrying their respective father's DNAs.

Siku mwanamke akiweza kuzaa watoto watano wa baba tofauti ndani ya mwaka mmoja ndio siku ambayo tutaona ni sahihi pia na wanawake kuolewa na wanaume wawili au Zaid.
 
miss jf Evelyn Salt ina maana simu zangu huzi

Unadhani mbinu hiyo itakuokoa na mtu ambaye ameamua kufanya mambo yake?

Mimi nimeona mifano mingi ya watu wenye mitazamo kama yako na walifanya hivyo lakini mwisho wa siku walipigwa matukio

Kuna watu huwa na simu mbili kwa ajili ya kazi na huwa inaachwa ofisini,kuna ambao huko maofisini wanamalizana kwenye magari,yaani unachofanya kumchunguza ni kupunguza tone la maji kwenye bahari,labda huyo hajaamua ila akiamua trust me analiwa tu
Mm simchunguzi ili kuzuia asiliwe bali nitamchunguza ili nijue iwapo ni mtu ambaye natakiwa kuendelea kuishi nae au laa.
Yeye kufanya uzinzi au kutofanya huo ni uamuzi wake, lakini na mm ndo nina uwamuzi kuendelea kuishi nae au vinginevyo.
Ya kwamba nisimfutirie mienendo yake ili kulinda furaha ya ndoa alafu baada ya miaka 20 ndo nije kujua kuwa watoto wote alio wazaa sio wa kwangu?
Au nisijue mienendo yake ili aniambukize ukimwi nianze kuishi kwa kunywa vidonge?
Kuishi na kulala kitanda kimoja na mwanamke mzinzi na mshirikina ni hatari kwa maisha yako
 
Back
Top Bottom