Aaaah hasa wewe ndio kabisa huchepuki babe🤣🤣
Kabisa babe. Sasa mbona umecheka?Aaaah hasa wewe ndio kabisa huchepuki babe🤣🤣
Si unajua mimi ni mtu wa furaha mda wote. I know u don't cheat my love, but uko difficult to handle, yani ile difficult character.Kabisa babe. Sasa mbona umecheka?
Kuchunguzana mienendo ya mtu unaye ishi naye ni muhimu na ni razima kwa ajili ya usalama wa maisha yako na afya yako.Walikuwa hawajui ndio maana huwa napinga sana kuchungazana kwa wanandoa,kama kuna sintofahamu huwa naamini ipo siku itajulikana
Wengi wetu tunajua zinaa ni njia mbaya ila bila kumuelekea Mungu kwa ibada na kuwa waja wema ni ngumu kutoboa
miss jf Evelyn Salt ina maana simu zangu huzioni auKwahiyo sahivi uko wapi?
Na kamzalisha mkewe bandika bandua watoto 6....shenzy...Kweli kabisa boss,ndio huyo mwamba pamoja na kula wanawake 400+ bado mkewe hakujua chochote,wanaume tunaweza kutenganisha kati ya mke na hawara,,lkn mwanamke anawekeza hisia zote kwa mchempuko mpya,ingawa ni wachache sana wapo smart
miss jf Evelyn Salt ina maana simu zangu huziKwahiyo sahivi uko wapi?
Unadhani mbinu hiyo itakuokoa na mtu ambaye ameamua kufanya mambo yake?Kuchunguzana mienendo ya mtu unaye ishi naye ni muhimu na ni razima kwa ajili ya usalama wa maisha yako na afya yako.
Narudia tena kumchumguza mienendo ya mkeo au mmeo ni muhimu na razima ili kama ni mtu mchafu uweze kuepuka mapema kabla ya kukuharibia maisha yako.
ALikuwa anamuweka bize na watoto kumbe yeye ana project yake,mshenzi sana yuleNa kamzalisha mkewe bandika bandua watoto 6....shenzy...
Amekuchagua kuwa mshirika wa ndoa,lkn mengine ana ushirika wake😂😂Mtu mwenye meno 32 asije kudanganya kwamba ni wewe tu kakuchagua kati ya wanadamu zaidi ya bilion 7 ' huu ni utapeli wa wazi kabisa😅
Bila ile kitu kujumuishwa hakuna cha ushirika wa ndoa mkuu 😅Amekuchagua kuwa mshirika wa ndoa,lkn mengine ana ushirika wake😂😂
Heeeeeeh😭😭😭😭Si unajua mimi ni mtu wa furaha mda wote. I know u don't cheat my love, but uko difficult to handle, yani ile difficult character.
Shindikana katika ubora wako🤣🤣🤣Mtu mwenye meno 32 asije kudanganya kwamba ni wewe tu kakuchagua kati ya wanadamu zaidi ya bilion 7 ' huu ni utapeli wa wazi kabisa😅
Njoo ulie na mimi🤣🤣Heeeeeeh😭😭😭😭
Nimelia sana.
Aaah sitaki😭😭😭Njoo ulie na mimi🤣🤣
Mm simchunguzi ili kuzuia asiliwe bali nitamchunguza ili nijue iwapo ni mtu ambaye natakiwa kuendelea kuishi nae au laa.miss jf Evelyn Salt ina maana simu zangu huzi
Unadhani mbinu hiyo itakuokoa na mtu ambaye ameamua kufanya mambo yake?
Mimi nimeona mifano mingi ya watu wenye mitazamo kama yako na walifanya hivyo lakini mwisho wa siku walipigwa matukio
Kuna watu huwa na simu mbili kwa ajili ya kazi na huwa inaachwa ofisini,kuna ambao huko maofisini wanamalizana kwenye magari,yaani unachofanya kumchunguza ni kupunguza tone la maji kwenye bahari,labda huyo hajaamua ila akiamua trust me analiwa tu
Ulie halafu ulie tena!!!🤣🤣🤣Aaah sitaki😭😭😭