Inapotokea umemzidi umri mama mkwe unampa salamu gani

Inapotokea umemzidi umri mama mkwe unampa salamu gani

Inapotokea umemzidi umri mwenza na mama yake pia unampa salamu gani?
Haikuwa mpango wa Mungu iwe hivi, ila ni uchu wa binadamu tu.

Hapa ndipo umuhimu wa salamu za kilugha au za kidini unapokuja.

Asalaam Aleykum

Bwana asifiwe

Tumsifu yesu kristu

Shimboni maye

Good morning my in-law

Kwa mifano hiyo michache ndio ujuwe kiswahili ni lugha ya majungu tu, Mama Samia alikuwa sahihi kuhutubia kwa kingereza kule UN. [emoji1][emoji1]
 
Hakupaswa kuwa hivyo lakini inatokea, umezaliwa 1978, mwenza alizaliwa 1998 na mama mkwe alizaliwa 1980
 
Binafsi salamu ya "Shkamoo" nimeacha kuitumia. Hainibariki na wala siielewi.

Hivyo kujibu swali lako, kama itatokea nimzidi baba/mama mkwe umri, nitatuma salam ya kawaida kumjulia hali.
 
Back
Top Bottom